We CHAWA ropoka kuhusu vingine vyote lakini kuhusu miundombinu ya akili kwa masilahi mapana zaidi ya Taifa letu la leo na kesho ebu ficha upumbavu wako kwanza....[emoji19]Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa...
Kashalambishwa asali, asitupotezee muda!Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa...
Huyu jamaa kumbe kaula tena!Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa...
huyo unayemwita chawa ni chawa wa nani ?We CHAWA ropoka kuhusu vingine vyote lakini kuhusu miundombinu ya akili kwa masilahi mapana zaidi ya Taifa letu la leo na kesho ebu ficha upumbavu wako kwanza....[emoji19]
Segere zimeanza. Tuliwaambia tukajibiwa sisi Chadema hatuna jema.Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa....
We jamaa kila comment yako imejaa hasira na visirani Mkuu Nenda hospitali huenda unaumwa.We CHAWA ropoka kuhusu vingine vyote lakini kuhusu miundombinu ya akili kwa masilahi mapana zaidi ya Taifa letu la leo na kesho ebu ficha upumbavu wako kwanza....[emoji19]
Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.
Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.
Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.
Ameongeza kuwa bwawa la Nyumba ya Mungu lilijengwa kwa zaidi ya miaka 5.
Source: ITV (Kipindi Maalum).
View attachment 2243918
Yule boss wa awamu ya 5 alikuwa na nia njema lakini uwezo wake wa kupangilia mambo ulikuwa mdogo Sana. Aliendeshwa na mihemko ya kutaka sifa.Miradi mikubwa ya awamu ya 5 changamoto kubwa sana....
Yaani kwa maelezo ya huyo katibu mkuu, siyo 2025 wala 2030 mpk kukamilika kwa huo mradi.Anawaandaa mataga kisaikolojia maana hao ndio wa kwanza kupiga kelele itakapoisha miaka 10 halijaisha.
Bwawa la mtera linaingia mara kumi? Mzee unalifahamu bwawa la mtera lakini??Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa...
Usibishane na mimi. Bishana na katibu mkuu wa wizara ya Nishati ndugu Mramba.Bwawa la mtera linaingia mara kumi?? Mzee unalifahamu bwawa la mtera lakini??
Huyu ni Katibu Mkuu wa Wizara husika.Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa...
Huwezi kuanzisha miradi mingi ya matrilioni kwa wakati mmoja. Hii ndiyo hasara yake sasa
Ni mipango ya upigaji inaandaliwa hapa.Anawaandaa mataga kisaikolojia maana hao ndio wa kwanza kupiga kelele itakapoisha miaka 10 halijaisha.
Hongera sana Bw. Felchesmi Mramba... Kumbe wenye akili kubwa bado wapo.Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa...
Ye angeweza. Ni uthubutu tu. Kwani mangapi yameanzishwa na yamefanyika. Kuna lecturer mmoja aliniambia wakati serikali inaanza mchakato wa makao makuu dom kuwa hautafanikiwa kabisa. Baadae ye nae akawa mpiga tarumbeta. Nadhani hakuamini kilichotokea.Yule boss wa awamu ya 5 alikuwa na nia njema lakini uwezo wake wa kupangilia mambo ulikuwa mdogo Sana. Aliendeshwa na mihemko ya kutaka sifa.
Huwezi kuanzisha miradi mingi ya matrilioni kwa wakati mmoja. Hii ndiyo hasara yake sasa