Felchesmi Mramba: Bwawa la JNHPP ni mara 10 ya bwawa la Kidatu lililojengwa kwa miaka 5

Hongera sana Bw. Felchesmi Mramba... Kumbe wenye akili kubwa bado wapo.

Kujenga a mega project kama JNHP kwa kasi waitakayo wananchi na wanasiasa ni kujitegea time bombs.

Sijui wengine akili wanaziweka wapi wanapojadili masuala nyeti, muhimu na hatari kwa maendeleo na uhai. Ndiyo tunahitaji umeme wa uhakika lakini tujue kuwa miradi ya mabwawa ya umeme ni hatarishi. Inahitaji muda na umakini!

Pamoja na mambo mengine... nchini Ethiopia Grand Ethiopian Renaissance Dam ujenzi ulianza 2011 na kukamilika 2020. GERD imeanza kazi 2022.

Tujiandae kisaikolojia. JNHP itachukua muda mrefu zaidi.
Msiwe kila kitu mnakubali tu hao nao ni wanasiasa. Bwawa la Nyerere ni mara mbili tu ya bwawa la Mtera na sio mara kumi.
 
Hapana. Nchi yetu ina matatizo makubwa sana na ni kichaa tu atakayeshangilia au kusifu haya yanayotokea. Ilikuwaje mtu mmoja awe na nguvu ya kuanzisha miradi complex namna hiyo bila kupata ushauri? Kwa nini hawa wanaopiga kelele sasa hivi hawakutoa hiyo tahadhari kipindi hicho, including aliyekuwa makamu wa rais? Kwanini baada ya haya yote kutokea tunaona ni kama hakuna makosa yaliyofanyika na tukabadilisha mfumo kwa haraka sana ili yasitokee tena na badala yake tunajivuta? Hatuoni kwamba hata sasa hivi kuna makosa makubwa kabisa yanaweza kuwa yanafanyika na tusijue sasa hivi kwa sababu mfumo wetu ni mbovu?
Pamoja na madhiafu ya jiwe, Ila ni lazima tukubali ni lini tulipaswa kuwa na miradi ya aina hiyo?
Tuna mradi wa kuzalisha umeme wa gesi, Ila tunanunua gesi kutoka kwa mwekezaji ili tuzalishe umeme. Mwekezaji siku akiamua kupandisha bei utafanyaje?

Tanesco tumewahi kupoteza mabilion ya pesa kupitia iptl, escrow, symbion, Richmond, Dowans n.k hizo pesa zote zilizopita huko zilitosha kuwa na mradi wetu wa kujitegemea.

Au Ilipaswa tuendelee tu na hao akina symbion na Dowans?
 
Yule boss wa awamu ya 5 alikuwa na nia njema lakini uwezo wake wa kupangilia mambo ulikuwa mdogo Sana. Aliendeshwa na mihemko ya kutaka sifa.

Huwezi kuanzisha miradi mingi ya matrilioni kwa wakati mmoja. Hii ndiyo hasara yake sasa
Sema walioachiwa ndo hawana akili. Boss aliipeleka nchi uchumi wa kati ndani ya muda mfupi, niamini mimi angeliendelea kuwepo ingekamilika ndani ya muda wake. Waliobakia ndo AKILI KISODA KUMUDU HEKAHEKA HIZO.
 
Pamoja na madhiafu ya jiwe, Ila ni lazima tukubali ni lini tulipaswa kuwa na miradi ya aina hiyo?
Tuna mradi wa kuzalisha umeme wa gesi, Ila tunanunua gesi kutoka kwa mwekezaji ili tuzalishe umeme. Mwekezaji siku akiamua kupandisha bei utafanyaje?
Tanesco tumewahi kupoteza mabilion ya pesa kupitia iptl, escrow, symbion, Richmond, Dowans n.k hizo pesa zote zilizopita huko zilitosha kuwa na mradi wetu wa kujitegemea.
Au Ilipaswa tuendelee tu na hao akina symbion na Dowans?
Ndiyo maana mimi nasema tatizo ni zaidi ya ni ''nani anaongoza''. Tatizo liko kwenye mfumo wetu. Mfumo ungekuwa ni mzuri haya maneno yasingekuwepo na rais angelazimika kufauata plan ya Taifa na siyo utashi wake.
 
Mkuu... miradi ya umeme ni hatarishi. Na hasa hiyo ya mabwawa makubwa. Athari zake kwenye mazingira na kwa viumbe ni kubwa sana.
Hivyo ni lazima wachukue tahadhari zote.

NB: Ukanda ule wa Bonde la Mto Rufiji uwa kuna ukame na mafuriko kwa nyakati tofauti tofauti na mdhara pia yanakuwa tofauti tofauti.

Ingia google upate darasa. Si lazima ulipe ada chuo.
Katika source za nishati ya umeme ambazo ni environmental friendly na tunaweza kumudu ni hydropower.
Solar ndio friendly zaidi lakini gharama ni kubwa za installation
 
Ndiyo maana mimi nasema tatizo ni zaidi ya ni ''nani anaongoza''. Tatizo liko kwenye mfumo wetu. Mfumo ungekuwa ni mzuri haya maneno yasingekuwepo na rais angelazimika kufauata plan ya Taifa na siyo utashi wake.
Ni lazima tutoke hapa. Tuna gesi mtwara, Ila tunaambiwa hatuna uwezo wa kuchimba(ni kweli) hivyo wawekekezaji watakaofanya exploration na kuchimba ndio tutanunua kwao.
Japo mm siamini kama pesa hatuna, Bali tuna vipaumbele vya ajabu tu. Trillion 70 tukiamua kuitafuta ndani ya miaka mitano tunaipata au tungeshaipata na tungekuwa na mradi wetu wenyewe wa kuchimba gesi.
Kwani waarabu wao waliwezaje kwenye mafuta na gesi hadi wakafaidika? Leo tunakubali kukabidhi mradi mkubwa Kama huo kwa wawekezaji ambapo tutachukua miaka mingi sana kuwategemea. Huku bado tuna mentality kwamba hatuwezi
Tumelaaniwa
 
Nakuunga mkono!
 
Yule boss wa awamu ya 5 alikuwa na nia njema lakini uwezo wake wa kupangilia mambo ulikuwa mdogo Sana. Aliendeshwa na mihemko ya kutaka sifa.

Huwezi kuanzisha miradi mingi ya matrilioni kwa wakati mmoja. Hii ndiyo hasara yake sasa
hakuna hasara wala ubaya kuwa na miradi mingi na mikubwa kwa nchi yenye utajiri kama bongo , ile ni akili kubwa , dawa ni kuzuia ufisadi na kutafuta pesa ya kukamilisha hizo miradi!

ukienda kwa mzungu kuomba pesa swali lake ni moja tu "do you have a plan?" ukimpa plan yako anaicheki akiona plan ina akili anakupa madolari!!
 
Hongera sana Bw. Felchesmi Mramba... Kumbe wenye akili kubwa bado wapo.

Kujenga a mega project kama JNHP kwa kasi waitakayo wananchi na wanasiasa ni kujitegea time bombs.

Sijui wengine akili wanaziweka wapi wanapojadili masuala nyeti, muhimu na hatari kwa maendeleo na uhai. Ndiyo tunahitaji umeme wa uhakika lakini tujue kuwa miradi ya mabwawa ya umeme ni hatarishi. Inahitaji muda na umakini!

Pamoja na mambo mengine... nchini Ethiopia Grand Ethiopian Renaissance Dam ujenzi ulianza 2011 na kukamilika 2020. GERD imeanza kazi 2022.

Tujiandae kisaikolojia. JNHP itachukua muda mrefu zaidi.
Mramba F anajibu yy mwenyewe kama unajua mradi utachukua muda mrefu nn unatakiwa ufanye kama msomi na mtu mwenye akili na maarifa na sio kutuletea taarifa za kipumbavu za kisiasa.Tunapozungumza ktk media tuwe na akili.
 
Mramba bana, JNHPP ni mara mbili tu ya mtera. Mara 10 sio kweli.
Ingekua Mara 10 tusingeweza, yaani tujenge 6000sqkm??? Ndio wataalamu wetu hao
Leteni dimensions za mabwaha haya mawili ili watu waweze kufanya mahesabu ya volume ya maji yatakayoweza kuhifadhiwa. Otherwise mara mbili au mara kumi ni fix tu.
 
Hili hata wewe ulipaswa kulijua maana kila kitu kipo wazi
Mtera ni 660sqkm, na JNHPP ni 1200sqkm
 
Hongera sana Bw. Felchesmi Mramba... Kumbe wenye akili kubwa bado wapo.

Kujenga a mega project kama JNHP kwa kasi waitakayo wananchi na wanasiasa ni kujitegea time bombs.

Sijui wengine akili wanaziweka wapi wanapojadili masuala nyeti, muhimu na hatari kwa maendeleo na uhai. Ndiyo tunahitaji umeme wa uhakika lakini tujue kuwa miradi ya mabwawa ya umeme ni hatarishi. Inahitaji muda na umakini!

Pamoja na mambo mengine... nchini Ethiopia Grand Ethiopian Renaissance Dam ujenzi ulianza 2011 na kukamilika 2020. GERD imeanza kazi 2022.

Tujiandae kisaikolojia. JNHP itachukua muda mrefu zaidi.
Usisahu Ethiopia Dam ni mara 3 ya JNHP...sis megawat 2145 wao ni elfu 6+.. huwezi ukalijenga at the same pace...km wao lilichukua 10yrs then ukigawa kwa 3 then 3 yrs ni muda sahihi kabisa...Hizi mbona hesabu za darasa la 7 aisee...[emoji1787][emoji1787]
 
Miradi mikubwa ya awamu ya 5 changamoto kubwa sana :

MRADI WA SGR RELI MPYA NAO KUMALIZIKA NJIA ZOTE ITACHUKUA WALAU SI CHINI YA MIAKA 15 KAMA RASILIMALI FEDHA ZITAKUWEPO YAKUTOSHA

Itachua miaka 30
 
Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.

Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.

Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.

Ameongeza kuwa bwawa la Nyumba ya Mungu lilijengwa kwa zaidi ya miaka 5.

Source: ITV (Kipindi Maalum).

View attachment 2244046
Huyu jamaa ndie aliesaini MoU ya ku extend mkataba wa Symbions for 15 more yrs jamaa akamtumbua.
Now naona wanatuandaa kwa mengineyo.
 
Upo sahihi tatizo lake alikuwa ni mpenda sifa za hovyo lakini nia yake ilikuwa ni njema sn
JPM namkubali kwenye mambo mawili tu.
Mosi,alikuwa na nia njema ya kuhakikisha hii nchi inapiga hatua kubwa kimaendeleo.
Pili,ni ile kutaka kutujenga Watanzania tujitegemee wenyewe kuleta maendeleo yetu, kwani hakuna shangazi wala mjomba wa kutupa maendekeo.
Tatizo lake ni kujiona kuwa yeye ni mwenye akili kuliko Watanzania wote hivyo kutotaka kusikia na kufuata ushauri wa wengine hasa wataalamu na washauri/wasaidizi wake, kisa tu kawa rais, wakati kumbe ni "below average".
 
Back
Top Bottom