Felchesmi Mramba: Bwawa la JNHPP ni mara 10 ya bwawa la Kidatu lililojengwa kwa miaka 5

Alikuwa mwanasiasa haswa ila ni mwanasiasa aliyeamini anajua kuliko wote na kushinda hata kwa kulazimisha hoja badala ya nguvu ya hoja.
 
Hakuna tatizo lolote kununua gesi yetu kutoka kwa mwekezaji ikiwa ni rahisi kuliko gesi kutoka nje na mwekezaji analipa kodi, anatoa ajira na angesababisha ukanda wa kusini kushamiri ajira.
Ni rahisi tu kiasi hicho, au siyo!

Acacia naye alikuwa hapa na tukawa tunashangilia sana kwa uwepo wake!

Hapana, mkuu wangu Yoda, simshangilii Marehemu Magufuli kwa kazi iliyofanyika hapo; ushahidi wa maandishi yangu humu unajieleza wenyewe juu ya hilo; lakini unayoyasema hapo kwenye mstari wako huo mmoja na robo, hapo ndipo masikitiko yangu yanapoanzia.
 
Alikuwa mwanasiasa haswa ila ni mwanasiasa aliyeamini anajua kuliko wote na kushinda hata kwa kulazimisha hoja badala ya nguvu ya hoja.
Basi pengine tuna maana tofauti ya hilo neno 'siasa' kama kweli ulimwona Magufuli kuwa mwanasiasa.
 
Huoni magogoni bado iko bize muda mwingi hadi viongozi mbalimbali wanaapishiwa hapo? Nchi gani nyingine uliwahi kuona mkuu wa nchi anaishi kwenye Ikulu mbili kubwa ??

Usishabikie tu serikali kuhamia Dodoma bila kuonyesha imekuwa na implications gani kwa taifa hasa uchumi mdogo kama huu wetu
 
Huwezi kuwa Rais wa nchi unayetokana na chama cha siasa bila kuwa mwanasiasa. Jambo jepesi kama hilo halihitaji ubishi na kushupaza shingo.
Basi pengine tuna maana tofauti ya hilo neno 'siasa' kama kweli ulimwona Magufuli kuwa mwanasiasa.
 
Dhahabu na gesi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Dhahabu soko lake kuu ni nje ya nchi, hii gesi soko lake kuu lingekuwa hapa. Pia mkiwa na gesi au mafuta mengi viongozi wake wanaweza kuiba na kuchota mapato yake kama Gaddafi Libya, Putin kule Russia au Ufalme wa Saudia na bado yakabaki mapato ya kufanya maendeleo kwa raia.
 
Hili lisiwe jambo la kubishania, liache lipite kama huamini kuwa serikali shahamia Dodoma.
 
Huwezi kuwa Rais wa nchi unayetokana na chama cha siasa bila kuwa mwanasiasa. Jambo jepesi kama hilo halihitaji ubishi na kushupaza shingo.
Hiyo ndiyo tafsiri yako ya kuwa mwanasiasa?
Basi sawa.
 
Leo unashida.

Gesi soko lake kuu ni hapa ndani ya nchi. Ingekuwa hivyo usingemwona hata mwekezaji mmoja wa kuleta mabilioni ya dola kwa mradi huo.?

Haya, tukubaliane iwe ni hivyo, hiyo inayochimbwa sasa toka huko huko Kusini siyo gesi, tena ipo nchi kavu, na gharama zake ni kidogo.
 
Serikali unamaanisha ni pamoja na Polisi, Jeshi, Uhamiaji, Usalama, BoT ?
Hili lisiwe jambo la kubishania, liache lipite kama huamini kuwa serikali shahamia Dodoma.
 
Huelewei uchumi wa kati tulifikaje, wewe ndio akili kisoda.
Tulifikaje na tukarudije wa chini? Na unaaminishaje watu kuwa hata km angekuwepo mwendazake, je, tungerudi uchumi wa chini? Narudia tena, angekuwepo mwendazake miradi ya matrilion mnayolia nayo eti ni mizigo mizito ingekamilika ndan ya mhula wake. Mianya ya wizi sa hv iko wazi sana kama kifaa kinachomuingizia changudoa hela.
 
Hata kama asingekuwepo mwendazake tungeingia uchumi wa kati tu.
 
Hata kama asingekuwepo mwendazake tungeingia uchumi wa kati tu.
Kuingia uchumi wakati ni process ndefu naweza sema ilianzia kwa Mkapa. Watu wanadhani ni Magu aliesababisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…