Ujinga mtupu huo, Barongo hawezi shika mdada aliyefaulu na mwenye bidii....shida ni dada zetu wanapenda digrii za kwenye chupi!! Watoto hawajitumi kwenye masomo wakifeli oooohhh mwalimu anannitaka wizi mtupu huu.....we call it academic wanking!
Samahani mie pia ni dada na niko masomoni ila mie nasoma kozi ya diploma ya Human Resource Management naomba usijumuishe kwamba ni akina dada wote tunapenda dezo. Mbona hata wanaume nawaona darasani kwetu wanapenda dezo tena hasa haya masomo ya Human Resource Management na Public Administration tunyaweza sie akina dada zaidi kuliko wanawaume. kwanza wanaume wamebase kwenye QM na mengine. Naomba hilo suala la Mzumbe liangaliwe kwa makini lakini hata hivyo siaamini kwamba lilifaa kuwa hapa na kama sio kwenye masuala ya mahusiano