Jamani hata mie nimesoma hapo mzumbe, barongo sdhani kama anatoa test ngumu, actully ni mwalimu ambaye yuko fair, sijawahi kufail somo lake, sijawahi kupata tabu yoyote, labda kwa sababu sivutii. but nachojua ni mchangamfu, anaongea na kila mtu, anasikiliza. Nadhani matatizo ya watu wengi wanaokimbilia kusoma masters huku vichwa vibovu, wana majukumu ya familia na kazi, wanaishia kuwa stressed na kushindwa masomo. Can you imagine mtu anafeli test ya maswali matatu achague moja, au maswali matano achague mawili, they cant be serious.
Halafu wadada wengine ndo wanapenda kuchekacheka sana na walimu, au niseme wanawatega walimu, kila saa hata unnecesarily utakuta mtu anajipeleka kwa mwalimu ooh, hapa sijaelewa, unielezee tena yani full mishauo, wataacha kutongozwa? have some respect for yourself ladies and stop whining, you are all grown ups, si hata undergraduate.