King'asti, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% kuwa huu ni wakati wa haki sawa!.
Ila FC ilifanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake wenyewe, na sio kweli kuwa ni clit yote inaondolewa!, jamii tofauti zinafanya kwa namna tofauti, kule Somalia, Sudan na Ethiopia, wao wanashona kabisa na kubakiza kitundu tuu cha secretion, binti akishachumbiwa ndipo anafunguliwa!. Hata Wachagga kabla ya ujio wa dini pia walifanyiwa!, hivyo ile krismasi hadi krismasi iliwezekana!.
Hili la baadhi ya waliofanyiwa kuwa bado ni vicheche, hili nalo ni tatizo la "over drive" ambalo huwapata wanawake wote!. Mimi nimeishawahi kuptia mke fulani wa mtu tena mumewe mheshimiwa fulani!, huwezi amini, nilifuatwa na huyo mama saa 12:00 asubuhi, my kids wanakwenda shule, gari ya mamaa imeshaipaki nje!, sio wanaume wote tuna prefer "morning drive!", na ukikubali, then shiold have been only a single shot!, yeye alihitaji full dose!, asubuhi!, hivyo ilifika mahali nilishindwa mwenyewe!. Sex should be enjoyment, lakini kwa wengine inageuka kazi hadi karaha!. Hivyo huyo ndiguyo hilo ni tatizo!.
Sisi Wasukuma wa zamani, bangi ilikuwa ni sehemu ya stimulants za kupiga jembe siku nzima, toka saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni, na hakuna watu waliokuwa wanawehuka!. Wanaume wa Kisukuma baada ya kupuliza, na ule ugali mlima!, usiku ni gwaride usiku kucha!, 7 days a week!, 4 weeks a moth!, (save for only those days)!, hivyo ni mke wa Kisukuma anakusisitizia mtafutie wenzake wasaidiane!, hivyo angalau watatu wanne, wapokezane, vinginevyo mwenyewe atajifia!, na kwa wenye uwezo, hadi wanawake 20!. That was then, is this valid for now?!. Hivyo hizi mila zife kwa invalidity na sio kwa kubezwa na wazungu!. Sisi Wasukuma wa leo, ni mke mmoja tuu, labda na vidumu vya hapa na pale kubadilishia mboga tuu!.
The same should be applied kwenye FC, iwe regulated kwa kuwekewa viwango, na vifaa salama, na iendelezwe tuu kule kwenye relevance!. Wafugaji wa kuhama hama wanapungua, ufugaji wa kisasa unareplace ufugaji wa kiasili, Morani wa Kimasai waliokuwa wakishinda mbugani na mifugo, siku hizi ni wasusi kule Sinza na Mwenge, na wengine ni walinzi, hivyo ile need ya kuwa preserve wake zao kwa FC, inapunguza relevance hivyo iache kwa irrelevance na sio kwa marufuku za kisiasa.
Pasco.