Female Genital Mutilation (FGM) kwa kina

Achahasira

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,213
Reaction score
215
Ndugu wana jf, kuna ishu hi ya female genital mutilation imekuwa ikikemewa sana na mataifa ya magharibi kuwa ni tamaduni ambazo hazina umuhimu na ni zakukemewa.

Kwa mtizamo wangu naona hii ishu inalazimishwa na mataifa makubwa kwa mataifa yetu ya kimaskini.

Swali, je kweli kuna madhara kama yanavyo tangazwa au ni moja ya agenda za mataifa ya magharibi kwa mataifa yetu kama yale ya ushoga?

Ningeomba kupatiwa elimu kuhusu hili, umuhimu na hasara zake kama zipo?

Karibuni,
 
Kwa uelewa wangu mdogo:mutilation ni mbaya kwa kuwa clitoris(very sensitive kwenye sex) kinaondolewa,so mwanamke hatajisikia raha sawasawa.na ii ilikuwa inafanywa kwa ajili ya kupunguza hamu ya kufanya mapenzi,hence wanawake washughulike zaidi kwenye kazi.then kuna matatizo ya kiafya kama kutokwa damu nyingi during removal of clitoris,maambukiz ya ukimwi(kisu 1 kinatumika kwa mwanamke zaid ya m1)etc
 
incase of sexual pleasure i think kuna vagina orgasms which is far greater than clitori orgasm
 
Kwa kuongezea tu ni kuwa clitoris ni very sensitive na kuikata maumivu yakeni makubwa sana. Lakini pia kwa kuikata clitoris unapunguza ule uwezo wa kutanuka wakati wa kujifungua kwa sababu kovu lililobaki halitanuki. Mwanamke anaishia kuvuja damu nyingi na huenda ikasababisha kifo.

Labda nikuulize ndugu Achahasira, kuna faida gani ya kumtahiri mwanamke? Kwa sababu faida za kumtahiri mwanaume zinajulikana.
Kwa uelewa wangu mdogo:mutilation ni mbaya kwa kuwa clitoris(very sensitive kwenye sex) kinaondolewa,so mwanamke hatajisikia raha sawasawa.na ii ilikuwa inafanywa kwa ajili ya kupunguza hamu ya kufanya mapenzi,hence wanawake washughulike zaidi kwenye kazi.then kuna matatizo ya kiafya kama kutokwa damu nyingi during removal of clitoris,maambukiz ya ukimwi(kisu 1 kinatumika kwa mwanamke zaid ya m1)etc
 
Last edited by a moderator:
Hii term ulioitumia ya genital mutilation ina negative connotation ikimaanisha "uharibifu", kuna watu wamefanya tafiti kuhusu maada ya hii, na TATIZO kubwa waliokuwa wanajaribu kuliaddress ni kwanini pamoja na kampeni zote kuhusu ubaya wa "female circumcision" (wataalamu katika sociolijia na anthrolopoligia wanapenda kuita hivi) BADO JAMII NYINGI ZINAENDELEA na hii practice? baadhi zimekubaliana kwamba HII NI TAMADUNI ya jamii ambazo zinafanya na una umuhimu wake katika jamii hizo. Wanasema sio kweli kwamba unapomtahiri mwanamke unaharibu sehemu ya UKE, wao wanasema hii ni moja wapo ya kutengeneza UKE (hapa ina maana the whole system) kwasbb waliokuwa/wanaofanya hii kutahiri ni wataalamu na wanajua vizuri jinsi ya deal na delicate parts za uKE; kwahiyo kutahiri ni IDENTITY, BEAUTY, UKUBWA, na CITIZETRY (una kuwa mmoja wao katika jamii). SASA hawa walioanza kukataa kwamba ni kitu kibaya wanasema mojamoja wamekifananisha hiki kitu na UNYAMA DHIDI YA WANAWAKE; na imetokea Magharibi ambao hii haijawahi kuwa TAMADUNI YAO, kwahiyo wanaona moja kwa moja kama kumharibu mwanamke na BAHATI MBAYA kabisa hii imekutana na FEMINISM, mtazamo wa kuona mwanamke anaweza kama mwanamme na kwa muda mrefu amekuwa akikandamizwa na mfumo dume; na hili la female circumsion limekuwa cited kama miongoni mwa vitu vibaya mwanamke anafanyia ETI ILI KUUA HASHIKI asipende ngono na afanyekazi kwa ajili ya mwanaume ambae muda mrefu anakuwa kwenye pombe na matembezi. Hawa hawaendi mbali kuelezea mazuri ya hiki kitendo wao wanashikilia MILA POTOFU,MILA POTOFU. Labda swali dogo kwenu je ni kweli wanawake waliotahiria hawana hashiki?; mabibi zetu walikuwa hawana hashiki? Je walikufa sana kama tunavyotaka kuaminishwa na watu wa magharibi na wapokea posho wa tanzania? Try to think aloud please!!
 
gakato nisaidie faida za female circumcision kama unazifahamu.
 
Last edited by a moderator:
gakato nisaidie faida za female circumcision kama unazifahamu.

King'asti nitakuwa muongo kama nitasema nazijua, ila kutokana na tafiti wanasema kwa kuwa ni tamaduni utekelezaji wake ni kuwa ULIFANYA MWANAMKE awe MWANAMKE katika jamii husika, ni kama vile uwe na mwanajeshi ambae hajaenda kozi za jeshi; lakini pia ndio kilichokuwa/ndicho kigezi za mwanamke kuolewa katika jamii hizo, wao waniita MSAFII na MZURI (KINYUME CHAKE NI MCHAFU), ndio kiashiria cha mwanamke alietulia na kuwa tayari kwa uzuri. Sasa katika mapokeo ya sasa (modernity na globalisation), wote standards zenu zipo universal, na kwa maan hiyo tunaona hakuna faida yoyote ya kutahiri wanawake (wewe na mimi tupo katiak kizazi hiki sasa).
 
Mimi kama mwanamke sioni uchafu wowowte unaotokana na kuwepokwa clitoris. Umesema vyema, tuongelee kizazi hiki chetu cha sasa.

Kumtahiri mwanamke ilikuwa innovationya kupunguza ashki tu kitu ambacho ni uon3vu mkubwa. Nimewahi kukutana na shuhuda kuwa mwanamke alietahiriwa hata iweje hafiki kileleni. Effect ya kutahiri mwanamke ni kama kumtahiri mwanaume kwa kukata ama kufyeka kichwa cha uume ( wakati wa operesheni ya kumbadilisha mwanaume kuwa mwanamke and vice versa, ngozi ya uume ama clitoris inatumika interchangeably kutengeneza kiungo hichi muhimu). Haiwezi ikawa kitu chema hata kidogo!

Si mtalamu sana kwa hii maada, kuna mtu najua amefanya PhD kwenye hili nitamuomba tasnifu yake, niisome vizuri na nitakutumia some important parts. Nafikiri kupata hashiki ni psychological na time/space bound, unajua jinsi unavyosikia na elewa hashiki mjini ni tofauti na kijijini kwa mfano. Ingawa kufika kileleni ni kulekule, nafikiri hapa inahitaji tafiti pia, Hivi ni kweli kwamba waliotahiriwa hawafiki kileleni? Hapa ningependa kufahamu zaidi! Ina maana wale wazamani wote waliotahiriwa hawajawahi kufika kileleni au wanachelewa kufika? Nimependa maelezo yako lakini naona wanaleta maswali mengi zaidi; Watu wa singida, dodoma, mara, manyara, etc wengi bado wanafanya hii kitu, nitajaribu kuproble ili kuwa na uhakika/kuwa certain. Otherwise, nimepata kitu kipya kidogo leo...JF is more than a university.
 
nisaidie faida za female circumcision kama unazifahamu.
King'asti!,

  1. Kwa kuanzia neno FGM ni neno lenye negative connotations lililoletwa na wazungu, kama walivyoita zile dini zetu za asili, ni dini za kishenzi!. Hi to start with, mimi siiti FGM bali female circumcision, FC au tohara.
  2. FC imekuwa ikifanywa na makabila ya wafugaji ili ku controll sex drive ya wanawake wao kufuatia wanaume wao kuwa mbali na wenza wao kwa vipindi virefu, hadi mwaka mzima, hivyo kwa kuondoa clitoris, mwanamke anaweza kustahimili hadi mwaka mzima bila sex apatite!.
  3. Si kweli mwanamke aliyefanyiwa tohara, anakosa raha ya sex, bali kinachopunguzwa ni "clitoral stimulations tuu", lakini enjoyment yote inahamia kwenye "penile penetration!" hivyo ana enjoy sex kama mwanake mwingine yoyote, tofauti zao ni kwa wasio tahiriwa huweza kuenjoy kwa clitoral tuu wakati walifanyiwa lazima wafanywe!.
  4. Mwili wa binadamu, unafanya self adjustments, hivyo watoto wa kike, walifanyiwa FC kabla hawajavunja ungo, hivyo hawajaanza kupata ashk, kitendo cha clito kuondolewa, kunapelekea self adjustments kwa stimulations kuhamia ndani, hivyo kupata enjoyment ile ile kwa penile penetrations!.
  5. Wale wanawake wanaopata matatizo ya njia ya uzazi, hao ni bodily anatomy zao, hata wasiofanywa, kila siku njia za uzazi, zinapanuliwa kwa incisions, au endapo FC imefanywa na ma ngariba ambao sio mabingwa!. Mbona Wamasai, Wakurya,Wanyaturu, Wagogo, Wabarbaig, Wasandawe, Wahadzabe, Wambulu, Wameru, na makabila mengine ya wafugaji wa asili wanafanyiwa FC ipaka kesho na hayo hatuyasikii?. Ila piua kuna makabila ya wafugaji wa asili, kama Wahaya, Waganda na Wanyarwanda, wao wanakivuta tangu mtoto akiwa mdogo, hivyo kupelekea over stimulations hadi kulowesha kabisa kitanda jap wanadai ndio "squirting!".
  6. Mimi binafsi nilipokuwa kijana, nilipenda sana "copulations", hivyo kwa mwanamke aliyefanyiwa FC, there is nothing to enjoy on that!, kwao kazi ni moja tuu, kuingia ndani!, na unaenjoy tuu kama wanawake wengine wowote kwa penile penetration!.
  7. Mwanaume anayekutana na mwanamke aliyefanyiwa FC, huweza kushindwa ku enjoy kwa sababu ya "inhibitions" tuu kwa mshtuko wa kuikuta ile kitu haipo!, hivyo its just an atitude of mind kama ulivyo "utamu" hautokani na maujanja, kukatika au umbile la ile kitu, buli game huchezwa in mind, na enyoyment ni kwenye mind.
  8. Kuna tatizo la baadhi ya wanawake kukosa kabisa ladha "frigidity", hili ni tatizo la kibaolojia, na huwakumba wanawake wote waliofanyiwa na wasio fanyiwa na halihusiani na FC!.
  9. Fanya utafiti wa utulivu wa wanawake wanaofanyiwa FC ulinganishe na wasiofanyiwa!.
  10. Mwisho, wenyewe wanaofanya mila hizo, wako kimya, hizi tradional practices zikiwa regulated, zingefanyika kitaalamu zaidi na kuwasaidia kupunguza madhara za sio kuwafuatisha tuu wazungu!.
Wasaalam.

Pasco.
 
Pasco, asante kwa majibu mazuri (najisikia kisiasa kidogo aagh). Pamoja na majibu yako mazuri still i dont agree with you on many items.

Kwanza napata kichaa nikiwaza cliroris ilivyo sensitive halafu inakamatwa na kuchanjwa (hata kwenye game tu haifai kuanzia kwa clit kabla mhemko haujafika level flani. It is just too sensitive jamani!).

Lakini pia unataka tuendelee kucontrok sexual drive ya mwanamke asitamani sex ili iweje? Na nani atacontrol ya hao wanaume? Huu ni uonevu. Kila mtu na afanye maamuzi juu ya matumizi ya mwili wake mwenyewe.

Ashakum si matusi rafiki zangu wa kanda ya ziwa. Cousins wangu wangu wawili wameolewa musoma. Huko walikoolewa baba wake wao wameoa hadi wake zao ni wadogo kwa wali wao. Baba mkwe wa dadangu aliugua gono ikawa aibu tele. Nataka kusema hao waliotahiriwa sio kweli kuwa wametulia. Kama ni utafiti nitaanza na hypoThesis kuwa wanawake waliotahiriwa hawatulii kwa kutafuta kuridhishwa. Vaginal orgasm ni function ya stamina na tukubaliane kimsingi kuwa kwa wanaume wa sasa hilo ni janga la kitaifa.

Im all against unnecessary torture and pain.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana jf, kuna ishu hi ya female genital mutilation imekuwa ikikemewa sana na mataifa ya magharibi kuwa ni tamaduni ambazo hazina umuhimu na ni zakukemewa.

Kwa mtizamo wangu naona hii ishu inalazimishwa na mataifa makubwa kwa mataifa yetu ya kimaskini.

Swali, je kweli kuna madhara kama yanavyo tangazwa au ni moja ya agenda za mataifa ya magharibi kwa mataifa yetu kama yale ya ushoga?

Ningeomba kupatiwa elimu kuhusu hili, umuhimu na hasara zake kama zipo?

Karibuni,

kusema ukweli, mie nimesoma sociology, kati ya mambo ambayo tumefundishwa kupambana nayo ni hayo hasa ukisoma sociology ya kimarekani. Lakini ukisoma sociology ya kimashariki, inasisitiza kuavoid "ethnocentrism" kwamba kila jamii ina mila na desturi zao, hivyo ziheshimiwe. na kila kitu ukifanyacho, fanya kwa kuzingatia uhalisia wa jamii husika.

Sasa nko mtaani, ktka mishe zangu, nimekutana na mwanamke ambaye kwao ni sumbawanga lakini mama yake kwao ni Bunda. Inavyoelekea, walipokuwa wadogo, mama yao aliwapelekea kwa bibi bunda, wakafanyiwa mila ya kuondolea kithimi. Hivyo mke wangu hana kitu hiyo kabisa.

Moja ya madhara tunayolazimishwa kuaamini kuwa ni matokeo ya ubaya wa FGM, ni kutokwa na damu nyingi wakti wa kujifungua na kukosa hamu ya tendo la ndoa, kuwa wanastahimili.

Huu ni UONGO MTUPU, kwani yote hayo kwa wife yko tofauti. Yuko sexy na nilishawahi kumwulia kuwa inamuathiri vipi, anasema alifanyiwa akiwa mtoto lakini haimuathiri kwa vyovyote vile. Na bibi yake huyo amekufa amezaa watoto 12, hakuwahi kukumbwa na matatizo yanaoyosemwa na wamgaharibi.

Mimi ninachokiona kuwa kina logic, ni kuweka human modification, kwamba ni tofauti na matakwa ya Mungu hivyo ni dhambi. Kwa habari ya dhambi sawa, lakini kwa habari ya elimu ya kimagaribi sio kabisa.
 
Pasco, asante kwa majibu mazuri (najisikia kisiasa kidogo aagh). Pamoja na majibu yako mazuri still i dont agree with you on many items.

Kwanza napata kichaa nikiwaza cliroris ilivyo sensitive halafu inakamatwa na kuchanjwa (hata kwenye game tu haifai kuanzia kwa clit kabla mhemko haujafika level flani. It is just too sensitive jamani!).

Lakini pia unataka tuendelee kucontrok sexual drive ya mwanamke asitamani sex ili iweje? Na nani atacontrol ya hao wanaume? Huu ni uonevu. Kila mtu na afanye maamuzi juu ya matumizi ya mwili wake mwenyewe.

Ashakum si matusi rafiki zangu wa kanda ya ziwa. Cousins wangu wangu wawili wameolewa musoma. Huko walikoolewa baba wake wao wameoa hadi wake zao ni wadogo kwa wali wao. Baba mkwe wa dadangu aliugua gono ikawa aibu tele. Nataka kusema hao waliotahiriwa sio kweli kuwa wametulia. Kama ni utafiti nitaanza na hypoThesis kuwa wanawake waliotahiriwa hawatulii kwa kutafuta kuridhishwa. Vaginal orgasm ni function ya stamina na tukubaliane kimsingi kuwa kwa wanaume wa sasa hilo ni janga la kitaifa.

Im all against unnecessary torture and pain.

King'asti, Pasco ni mtu wa kanda ya ziwa, hivyo ameathiriwa na mila na desturi za kwao.

Sio kweli wanawake walifanyiwa tohara wanaweza kuhimili sexual desire!!!! sio kweli hata kidogo. Labda tufanye tafti, wanawake wa kanda ya ziwa, hawafumaniwi? Wananwake wa kanda ya ziwa, hawatoki nje ya ndo zao? bila shaka masuala hayo ni commoni kwa jamii nyingi.

kutulia kwa mwanamke, ni yeye mwenyewe maadili yake lakini pia na hofu ya Mungu basi, lakini haiwezi kuathiriwa kwa kuwa na critol au kutokuwa nayo.
Na ili tuyajibu haya maswali, tuulizane, Tanzania, ni wanawake wa mkoa gani ni vicheche sana, vicheche kidogo na sio vicheche kabisa. Kwa kuwa tunajua wanawake wa mkoa fulani wana FGM, na wengine hawana, tutayajibu tu maswala haya.
 
Mimi kama mwanamke sioni uchafu wowowte unaotokana na kuwepokwa clitoris. Umesema vyema, tuongelee kizazi hiki chetu cha sasa.

Kumtahiri mwanamke ilikuwa innovationya kupunguza ashki tu kitu ambacho ni uon3vu mkubwa. Nimewahi kukutana na shuhuda kuwa mwanamke alietahiriwa hata iweje hafiki kileleni. Effect ya kutahiri mwanamke ni kama kumtahiri mwanaume kwa kukata ama kufyeka kichwa cha uume ( wakati wa operesheni ya kumbadilisha mwanaume kuwa mwanamke and vice versa, ngozi ya uume ama clitoris inatumika interchangeably kutengeneza kiungo hichi muhimu). Haiwezi ikawa kitu chema hata kidogo!

uongo mtupu nakwambia. Kama jamaa alimbaka, mtu hayuko willing, atafikaje kileleni?

Narudia tena, wa kwangu, hata usiku nime do naye, wakati mie nimepiga gol;i moja na kulala zangu, yeye hadi kunitoa moja amepiga tatu,. kama sio nne. Tena kuna kipindi nimeng'atwa!!!! sasa ukiniambia hawafiki kileleni wakati mie kila siku nashuhudia sikuelewi!!!
 
Pasco, asante kwa majibu mazuri (najisikia kisiasa kidogo aagh). Pamoja na majibu yako mazuri still i dont agree with you on many items.

Kwanza napata kichaa nikiwaza cliroris ilivyo sensitive halafu inakamatwa na kuchanjwa (hata kwenye game tu haifai kuanzia kwa clit kabla mhemko haujafika level flani. It is just too sensitive jamani!).

Lakini pia unataka tuendelee kucontrok sexual drive ya mwanamke asitamani sex ili iweje? Na nani atacontrol ya hao wanaume? Huu ni uonevu. Kila mtu na afanye maamuzi juu ya matumizi ya mwili wake mwenyewe.

Ashakum si matusi rafiki zangu wa kanda ya ziwa. Cousins wangu wangu wawili wameolewa musoma. Huko walikoolewa baba wake wao wameoa hadi wake zao ni wadogo kwa wali wao. Baba mkwe wa dadangu aliugua gono ikawa aibu tele. Nataka kusema hao waliotahiriwa sio kweli kuwa wametulia. Kama ni utafiti nitaanza na hypo
King'asti, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% kuwa huu ni wakati wa haki sawa!.

Ila FC ilifanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake wenyewe, na sio kweli kuwa ni clit yote inaondolewa!, jamii tofauti zinafanya kwa namna tofauti, kule Somalia, Sudan na Ethiopia, wao wanashona kabisa na kubakiza kitundu tuu cha secretion, binti akishachumbiwa ndipo anafunguliwa!. Hata Wachagga kabla ya ujio wa dini pia walifanyiwa!, hivyo ile krismasi hadi krismasi iliwezekana!.

Hili la baadhi ya waliofanyiwa kuwa bado ni vicheche, hili nalo ni tatizo la "over drive" ambalo huwapata wanawake wote!. Mimi nimeishawahi kuptia mke fulani wa mtu tena mumewe mheshimiwa fulani!, huwezi amini, nilifuatwa na huyo mama saa 12:00 asubuhi, my kids wanakwenda shule, gari ya mamaa imeshaipaki nje!, sio wanaume wote tuna prefer "morning drive!", na ukikubali, then shiold have been only a single shot!, yeye alihitaji full dose!, asubuhi!, hivyo ilifika mahali nilishindwa mwenyewe!. Sex should be enjoyment, lakini kwa wengine inageuka kazi hadi karaha!. Hivyo huyo ndiguyo hilo ni tatizo!.

Sisi Wasukuma wa zamani, bangi ilikuwa ni sehemu ya stimulants za kupiga jembe siku nzima, toka saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni, na hakuna watu waliokuwa wanawehuka!. Wanaume wa Kisukuma baada ya kupuliza, na ule ugali mlima!, usiku ni gwaride usiku kucha!, 7 days a week!, 4 weeks a moth!, (save for only those days)!, hivyo ni mke wa Kisukuma anakusisitizia mtafutie wenzake wasaidiane!, hivyo angalau watatu wanne, wapokezane, vinginevyo mwenyewe atajifia!, na kwa wenye uwezo, hadi wanawake 20!. That was then, is this valid for now?!. Hivyo hizi mila zife kwa invalidity na sio kwa kubezwa na wazungu!. Sisi Wasukuma wa leo, ni mke mmoja tuu, labda na vidumu vya hapa na pale kubadilishia mboga tuu!.

The same should be applied kwenye FC, iwe regulated kwa kuwekewa viwango, na vifaa salama, na iendelezwe tuu kule kwenye relevance!. Wafugaji wa kuhama hama wanapungua, ufugaji wa kisasa unareplace ufugaji wa kiasili, Morani wa Kimasai waliokuwa wakishinda mbugani na mifugo, siku hizi ni wasusi kule Sinza na Mwenge, na wengine ni walinzi, hivyo ile need ya kuwa preserve wake zao kwa FC, inapunguza relevance hivyo iache kwa irrelevance na sio kwa marufuku za kisiasa.

Pasco.
 
Nyie watu mmenichekesha yaani!
Pasco pole kwa kuamshiwa kazi. Siku nataka kidumu ntakucheki kana una vacancy lol.

Nafurahi kusikia kuwa wanawake waliotahiriwa wanafurahia sex. Ila kaka isijekuwa ni function ya size na stamina tu.

All in all sijaona umuhimu wa kupeana maumivu ya kukata antennae. Namshukuru Mungu sijatokea kwenye tamaduni hizo.
 
Pasco unatoa majibu mazuri, lakini unachanganya na meaning attached to an event. Mfano, Inaaminika kuwa wanakuwa strong mwaka mzima. Hii ni imani attached to FC, haina ukweli wowote ule. Ni sawa na Bangi, ukiivuta ili ikubust kusoma, as longer as umevuta kwa kusudia hivyo, kweli utasoma hadi watu watasahau. Lakini sio kweli eti bangi ndo imekusababishia kusoma sana, bali ni ile imani uliyoiweka kwenye bangi ndiyo inafanya kazi. The same applies to FC, mnaamini kuwa wanastahimil mwaka mzima, lakini ukienda kuchunguza unakuta hakuna ukweli ispokuwa tu, malezi aliyolelewa ndiyo yanayofanya kazi.
 
Nyie watu mmenichekesha yaani!
Pasco pole kwa kuamshiwa kazi. Siku nataka kidumu ntakucheki kana una vacancy lol.

Nafurahi kusikia kuwa wanawake waliotahiriwa wanafurahia sex. Ila kaka isijekuwa ni function ya size na stamina tu.

All in all sijaona umuhimu wa kupeana maumivu ya kukata antennae. Namshukuru Mungu sijatokea kwenye tamaduni hizo.

King'asti, nimetoa neno "ETHNOCENTRISM" kuwa haifai kuongelea tamaduni za wengine kwa kuangalia tamaduni zako. Nakuhakikishia, hata wewe ungezaliwa kwenye jamii za namna hiyo, ungewashangaa wanawake ambao hawafanyiwi kitu hiyo. Ungewaona waajabu, woga, wachafu n.k

Cha msingi ni tuheshimiane tu, unachokiona kizuri kwako, wengine wanakiona kibaya and vice versa. tujifunze kuheshimiana tu, ndo jambo la msingi nakuambia.
 
Kwa uelewa wangu mdogo:mutilation ni mbaya kwa kuwa clitoris(very sensitive kwenye sex) kinaondolewa,so mwanamke hatajisikia raha sawasawa.na ii ilikuwa inafanywa kwa ajili ya kupunguza hamu ya kufanya mapenzi,hence wanawake washughulike zaidi kwenye kazi.then kuna matatizo ya kiafya kama kutokwa damu nyingi during removal of clitoris,maambukiz ya ukimwi(kisu 1 kinatumika kwa mwanamke zaid ya m1)etc

kwa hiyo unataka kusema wasiache mila zao bali waboreshe namna wanavyoifanya?
 
Back
Top Bottom