Hakuna mwanamke asiyetaka Ndoa.
Kinachotokea ni kuwa wengi wanaingia ndoani Kwa shinikizo Fulani labda la umri, jamii au umasikini.
Ila wanaume waliowengi ndio hawataki ndoa amini nakuambia.
Hakuna mwanaume hata mmoja ambaye ataenda kuombewa ili apate Mke, lakini yapo mamilioni ya wanawake wanaofunga na kuomba Kwa ajili ya kutaka kuolewa.
Wanawake wanataka mfumo jike lakini mfumo huo hau-apply ndani ya ndoa.
Mke anamahitaji yake, na siku zote nahitaji ya Mke hutimizwa na Mwanaume mwenye Mfumo Dume.
Sasa hao unaowaona wanadai talaka ni Kwa sababu wanakutana na wanaume wanaotumia mfumo jike.
Hawatunzi familia, kazi Kupenda Kitonga, hawajui nini mwanamke anahitaji, unategemea mwanamke atafanya nini kama sio kuomba talaka?