Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Alikombolewa wapi, na lini alikuwa utumwani?Mwanamke 'alipokombolewa' ndipo tatizo lilipoanzia
Kwa yote uliyoongea hapo ambayo ni ya ukweli kabisa bado sijaona mwanamke kaathirika vipi?
Inayoathirika ni jamii kwa ujumla.
Unaijua mkuu masculinity vizuri?. Hiv mwanaume kugoma kulia hata kama roho inamuuma unadhan ni kawaida?.Waathirika wengi ni ninyi wanawake kuliko wanaume.
Nshakuambia siku hizi ni ngumu kuuona uchi wa Mbuzi kuliko kuuona uchi wa Mwanamke.
Hata hivyo Feminism imechangia pia pakubwa ongezeko la Mashoga.
Zingatia Kwa zamani kwenye mfumo dume, Baba akisikia mtoto kaanza michezo hiyo atachukua jukumu la Kumuua huyo mtoto.
Lakini siku hizi watoto wengi wanalelewa na Mama, na wengi ndipo mashoga wanapotokea, ni ngumu Sana mtoto wa kiume aliyelelewa na Baba mwenye Mfumo dume kuwa na tabia za kike au kishoga.
Pole zaidi itawafikia wanaume wenye hadhi ya chini ambao wao bila kuwanyenyekea wanawake hawapati papuchi.
Unaijua mkuu masculinity vizuri?. Hiv mwanaume kugoma kulia hata kama roho inamuuma unadhan ni kawaida?.
Masculinity ndio hiyo hiyo inayoplekea mwanaume kufa miaka 5 kabla ya mkewe
😂😂 ROBERT HERIELKipi kifanyike ndugu mtaalamu
Kipi kifanyike ndugu mtaalamu
Man mascular Ina tabu zake. Ukiikagua vizur utagundua Hilo. Hata ukikagua vizur matatizo ya afya kama STD's - CDs yanatoa idad kubw y wagonjwa katika Chanel hizo
Ndio maana wameamua kutafuta pesa zao wenyewe na hawataki kuolewa na walioolewa wanataka taraka kwa sababu hawataki upuuzi wa mfumo dume wa kutumikishwa na kupekeshwa kwakisingizio cha kuolewa 😆😆Anaandika, Robert Heriel
Angalizo; lugha itakayotumika inaweza isiwe nzuri. Hivyo Kama ni mwepesi WA mihemko basi unashauriwa kuishia hapahapa. Endapo utaendelea kusoma, na ukapata madhara yoyote ya kihisia au kisaikolojia basi sitakuwa sehemu ya lawama.
Kwa yote uliyoongea hapo ambayo ni ya ukweli kabisa bado sijaona mwanamke kaathirika vipi?
Inayoathirika ni jamii kwa ujumla.
Haya pole kwa jamiiAlafu kumbe hujajua, mwanamke ndio jamii yenyewe.
Ndio maana sheria za Kidini na kiutamaduni karibu dunia nzima zinamdhibiri na kumlinda yeye kuliko mwanaume.
Mwanamke ndiye kiwanda cha Dunia.
Yeye ndiye anaweza kuzalisha products nzuri au Mbaya.
Ndio maana hata ukiona mtoto akifanya vizuri watu husema limebarikiwa tumbo lililombeba mtoto huyo.
Lakini kama mtoto amekuwa na negative impacts basi watasema tumbo lililombeba linalaana.
Hata hivyo wanawake waliofunzwa wakafunzika huchagua wanaume Bora wakuwapa watoto ili kupata mbegu na kizazi Bora.
Na Hilo sio tuu Kwa binadamu hata Kwa Wanyama na viumbe wengine
Ndio maana wameamua kutafuta pesa zao wenyewe na hawataki kuolewa na walioolewa wanataka taraka kwa sababu hawataki upuuzi wa mfumo dume wa kutumikishwa na kupekeshwa kwakisingizio cha kuolewa 😆😆
Haya pole kwa jamii
Kwa taarifa yako wasomi ni makahaba zaidi ya wasio soma.Hii inawafanya kujiingiza katika Kazi hatari na zakuzalilisha kama ukahaba Kwa wale ambao hawajasoma na hawana Ajira.
Hao mamilioni unaowataja wanatafuta ndoa ni wale maskini na wasio na elimu..Hakuna mwanamke asiyetaka Ndoa.
Kinachotokea ni kuwa wengi wanaingia ndoani Kwa shinikizo Fulani labda la umri, jamii au umasikini.
Ila wanaume waliowengi ndio hawataki ndoa amini nakuambia.
Hakuna mwanaume hata mmoja ambaye ataenda kuombewa ili apate Mke, lakini yapo mamilioni ya wanawake wanaofunga na kuomba Kwa ajili ya kutaka kuolewa.
Wanawake wanataka mfumo jike lakini mfumo huo hau-apply ndani ya ndoa.
Mke anamahitaji yake, na siku zote nahitaji ya Mke hutimizwa na Mwanaume mwenye Mfumo Dume.
Sasa hao unaowaona wanadai talaka ni Kwa sababu wanakutana na wanaume wanaotumia mfumo jike.
Hawatunzi familia, kazi Kupenda Kitonga, hawajui nini mwanamke anahitaji, unategemea mwanamke atafanya nini kama sio kuomba talaka?
Kwa taarifa yako wasomi ni makahaba zaidi ya wasio soma.
Hao mamilioni unaowataja wanatafuta ndoa ni wale maskini na wasio na elimu..
Wenye elimu hawataki huo ujinga tena sio swala la kuamini bali ni swala la kuona uhalisia ndio maana wanaomba talaka na sio wanaume wakiomba talaka..
Mwisho wanaolalamika na kujiua kwa kutengwa ni wanaume zaidi kuliko Wanawake,wanaokuwa mashoga ni wanaume na sio wanawake kutamani kuwa Wanaume..
Mpaka hapo utaona wenye uhitaji na wanaopata hizo tabu ni wanaume kuliko wanawake..