Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

Sisi wakristo ndo tuna shida, waislamu wake zao angalau Wana kaibu kidogo maana anajua mda wowote anaweza pigwa chini au letewa mwenzake. Hawa wa Kikristo hawana competition kama zigo ni lako ndio kinachowapa kiburi.

Ni kwa sababu kwenye Ukristo kuna upagani
 
  • Shetani ndiye mwasisi wa kwanza WA mapinduzi dhidi ya Mungu kwa mbinu za kilaghai., na hakufanikiwa.
  • Hata sasa wake kwa Wayne wanaofanya jitihada za kupindua 'mfumo' aliouasisi Mungu hawatafanikiwa, bali watazidi kuongeza machungu duniani.
 
Aseeeh, umeshusha elimu kubwa sana na ya muhimu.Nafurahi unavyoelezea kwa wale wanao uliza maswali pale wanapoona walakini au kutokuelewa.

Pia usichoke kuwaelewesha maana mifumo ya dunia sasa imebadilika na wanaume wengi wamekutwa na mifumo hiyo na kumezwa ndani na kushindwa kuchanganua mambo.

[emoji123]
 


🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nashukuru Sana MKUU
 
Sawa Tycoon
 
Unaijua mkuu masculinity vizuri?. Hiv mwanaume kugoma kulia hata kama roho inamuuma unadhan ni kawaida?.
Masculinity ndio hiyo hiyo inayoplekea mwanaume kufa miaka 5 kabla ya mkewe
Unatakiwa ujue mfumo wa masculinity haujawahi mshape mwanaume kubehave kwa kureflect emotional reaction, wanaume wanafeel jambo ila hawatakiwi kuliprocess kwa hisia (emotional) wanatakiwa kuliprocess kwa Mantiki (logic).

Mfano, mwanaume umekaa na mkeo unapigiwa simu mtoto wako amepatwa na tatizo anapelekwa hospital, mwanamke ile taarifa itaingia chumba cha hisia moja kwa moja na ataanza kureact tofauti jambo la kwanza katika akili yake ni kupanic na kuanza kubwabaja maneno kama si kuanza kulia, ila mwanaume ile taarifa ikifika kitu cha kwanza itapokelewa chumba cha manitiki na mara moja ataanza kuprocess namna ya kuhandle hiyo taarifa nanm kudeal na situation.

Akili itamwambia kavae chukua wallet na funguo ya gari katoe gari getini uondoke kuelekea eneo la tukio tayari kukabili majukumu.

Mfano mwingine, maisha ni magumu kijana ndio ameanza kujitegemea yupo mwenyewe. Masculinity inamtaka kijana aanze kuformulate njia kadhaa za kuanza kujijengea uwezo wa kujitegemea bila kumlalia mtu yaani kuanza kujitafutia kipato. Ila mwanamke jambo la kwanza ni atafute mtu wa karibu wa kumsaidia ili aweze kuepuka hofu ya ugumu wa maisha. Unaweza kuta mwanamke yupo mwenyewe ila uliza nyuma ya pazia mwanaume hatokosekana, anaweza kuwa ni boss wake, kaka yake, baba yake, mdogo wake wa kiume, mjomba wake, au basi tu mwanaume.

Anyways, hizi habari za mwanaume kuishi miaka michache na kufa mapema ni matokeo ya women talk kuwaambia wanaume namna ya kuwa wanaume. Unaambiwa ulee watoto wasio wako sababu kitanda hakizai haramu, uhudumie mwanamke hata kama anapesa sababu pesa za mwanamke ni zake pekee yake na za mwanaume ni za mke pia, au kusema mwanaume na yeye akipatwa na makubwa alie ili kupunguza machungu moyoni. Huu ni upuuzi na hakuna sehemu masculinity imesuggest haya mambo maana ni kinyume na uanaume.

Mwanaume kuoa mwanamke ambaye ameshazaa na mwanaume mwingine ni yeye atake kinyume na hapo hakuna uhusiano kati ya uanaume na kulea ujauzito au mtoto wa mwanaume mwingine hio sio sehemu ya masculinity.

Mwanaume hatakiwi kulia kwa lolote sababu akifanya hivyo anapoteza muda wa kufikiria utatuzi na kuweza kuhandle situation. Imagine mwanaume yupo na mwanamke wake wanapita kichochoroni anakutana na vibaka so aanze kulia na kudeka aiiwabembeleza wasimdhuru baada ya kutazama namna ya kuwakabili?!

Au Mwanaume umetokea msiba au hali ngumu ya maisha, akae chini aanze kulia na mkewe eti kwasababu asipofanya hivyo basi itamsababishia magonjwa ya moyo sijui na kuishi muda mfupi?!

Au kukasirika na kupanic ile ya fujo, hizo sio tabia za kiume hata kidogo na hazina uhusiano na uanaume. Mwanaume akipishana na mwanamke au mwanaume mwenzake jambo la kwanza ni kumuepuka na kuendelea na maisha bila kushikana mashati maana huwezi kulazimisha mtu afanye asichokuwa tayari na hiyo ina maanisha haujamudu kumuweka under control so why ufosi.

So kuna mengi Jamii haijui kuhusu masculinity ila wanaongelea as if wanaielewa.
 

Kama hawajaelewa hapa watahitaji bakora za uhakika.
Maelezo yako yamenyooka kama Rula.
Yaani umeeleza zaidi yangu.
Much respect Mkuu
 
Maelezo yako sio huru. Zungumza kama mtu huru anaetaka kutibu tatizo. Naomba tafuta kitab kimoja amekiandika Harris 1986. Kinaitwa "message men hear, construct masculinity". Lazima ukubali kwamba tunaendesha na ideology ambayo ina binary opposition ndani yake. Yani (Kiza vs Mwanga, MUME vs MKE, kulia VS kucheka, Huzuni vs Furaha n. K). Hii ishu imejikita Sana kwenye kila ngaz ya tamaduni. Ndo mana mawanamke akishindwa jambo, mwanaume piga ua atafosi aliweze (KUSHINDWA VS KUSHINDA). hii Inapelekea mgawanyo wa majukum Kat ya wanajamii Ukae kwenye 'Binary opposition'. Mwanaume Leo kumwambia apike wakat mkewe yuo ni tatizo kubwa tu la kutukana mpaka matusi. Hii primarily ni kwamba kama mwanamke kazi yake kupika bhasi mwanaume Hapiki. Mkuu unaposema likittokea tatizo mwanamke apaniki bhas mwanaume ASIPANIKI. ili kuonyesha utofauti wao, lakini basic ni JINSIA zao (viungo). Bado huwez kutib tatizo Kwa mitazamo hiyo. Utaleta ubishani wa NATURE AND NURTURE sasahivi.
Swali, je mwanaume kutopaniki katika matatizo ni asili au ni utamaduni?
 
🤣🤣🤣Wanaumia sana,sijui kwanini

Ndio akili za kike zilivyo.

Kama tuu mwanamke ukimtazama akili yake inafikiri umempenda,
Au ukimtongoza akili yake inamtuma umempenda,
Kwa nin msifikiri Kwa namna hiyo.

Kitu pekee mwanamke atafanya mwanaume aumie ni kumcheat, yaani uwe mkewe akupendaye alafu um-cheat. Zaidi ya hapo hakuna kingine
 
Kwa miaka hii ya sasa kwa JF Mkuu unaongoza kwa kuleta NONDO za maana.

Ubarikiwe sana.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ingaww kuna ukweli fulani kwenye hili.

Lakini huko vijijini toka zamani Mama ndiye anahangaika kulima kulea watoto wakati Baba ni mlevi na kazi yake kuoa wake wengi.

Haina tofauti sana.
Kuna tofauti,mama alihangaika lakini hakuwa na sauti ya kusema hiki ni changu au hiki usikiguse ama watoto wawehivi ama vile.Hiyo ndo tofauti na sasa!
 
Ila ww mshakaji, una umri mdogo kama mimi tu ila uwezo wako wa kufikiria ni mkubwa sana.. nasoma sana makala zako FB na hapa JF, kiukweli nikupongeze unaniongzezea kitu fulan ktk baadhi ya makala zako.

Unajua sana kuelezea jambo ulilokusudia kuliandika, kiufupi unajua sana mwamba

Kweli ww ni taikon[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…