Feminist huoana, wife material huolewa. Je, unaoa/kuolewa au mnaoana?

Feminist huoana, wife material huolewa. Je, unaoa/kuolewa au mnaoana?

Kwahiyo kudeki ndio kumtii mume na kutokudeki ni kutomtii mume?
😁😁😁😁Kuna mgawanyo wa majukumu, Chakula cha Mume (Both food na kile cha usiku) Vina ladha yake vikiseviwa na motherhouse. Hii haki sawa Mimi sikubaliani nayo
 
Kama kazi za kupika, kuosha Vyombo, kufua,kudeki ndani ni kazi ya mwanaume kunaulazima gani wew uingie ndoani Kama hata majukumu yako tu huyafahamu
Majukumu kwenye ndoa ni mawili tu, KULA KWA JASHO & ZAA KWA UCHUNGU baasi!! Hayo mengine hayana mwenyewe!
 
Majukumu kwenye ndoa ni mawili tu, KULA KWA JASHO & ZAA KWA UCHUNGU baasi!! Hayo mengine hayana mwenyewe!
In doing so, Mwanaume awe kiongozi na mwanamke kama msaidizi wake Case closed
 
Mkuu wangu labda nikwambie..kwenye ndoa yangu nitabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki kuwa mwanaume kila mtu na ayatimize majukumu yake ipasavyo.

Sijui umenielewa
Hii comment naomba iwekewe lamination kabisaa
 
Kwenye imani zingine sifahamu ila in MUSLIM

Tunajua maneno mawili tu

“Nimekuoza”
“Nimekubali nimemuoa”

Ndoa imefungwa tayari, ikiwa ni ishara ya ibada.(nimezungumzia ndoa sio harusi)
 
Back
Top Bottom