Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
- Thread starter
- #141
Nimejaribu kulitafuta kwenye kamusi nimelikosa nimepata yafuatayoUkiachilia mbali watu wanasemaje au wanawake wanamaanisha kitu Gani, neno kuoana linamaana Gani?
1.Olewa/Oa
2.Posa(ask -in)
3.Oza
Hilo neno "Oana " linatokana na "marry each other "kwa lugha ya kiingereza, Huku kwetu Mwanaume anaposa (ask in) ,Upande wa mwanamke ukikubali anaolewa, no such a thing as kuoana