Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe sanaaaaa.Kwangu haijalishi nani katoa mahari, nani anaingiza kipato kikubwa. Suala lunabaki palepale, TUMEOANA.
Mimi nimeridhia kumuoa na Yeye ameridhia kuolewa na Mimi, hapo sie TUMEOANA.
hakuna ukweli zaidi ya huu. Mwanamke mwisho form 4Kuna wakati naona hawa viumbehawakutakiwa kupata elimukabisa ndio maana Kuna baadhi ya nchi zinapiga marufuku wao kuwa na elimu kubwa , kwasababu hawajui kubalance shobo kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em huko naweee.Kipenzi cha "mafeminisiti "[emoji16][emoji16]
That Bit€h!!!Mi nataka kumuoa huyu. Sijui atakubali au pengine atataka "anioe" au tuoane. Kazi sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2464131
kuna kuoa & kuolewa tu
Wife material ndiye anafaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em huko naweee.
Useme huna uwezo wa kuishi na mke, ndo unajifichia u feminist khaaaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ipo hivyo feminists wengi ndoa zimewashinda wamejawa na hasira plus ubinafsi kwahiyo wanachokifanya nikuingiza hizo tabia mbovu kwa hawa mabinti wenye miaka 20+ mwisho wa siku wanajikuta hata akiolewa miezi sita kwenye ndoa hatoboi, Kuna single mother mmoja nilimkuta anaongea na wenzake anasemaje aisee mke wa fulani ana nyanyaswa kweli kila siku anafua nguo za mumewe hata hamuonei huruma daah nilibaki nashangaa hivi mwanamke kufua ni unyanyasaji wa kijinsia hawa viumbe ni nani aliye waroga , single mom ni tatizo kubwa kwa ustawi wa mabinti kwenye jamii.kuna sehem flan nilitembelea; kule mwanamke akiachika anatengwa na familia(hatakiwi kuwa karibu na wadogo zake wa kike)
kwasababu atawaharibu kisaikolojia... kwa maana hiyo, umesemaukweli
tamaduni ingne zinawafanyia matambiko fulani kukataa huo mkosi usiandame famili!Ndio ipo hivyo feminists wengi ndoa zimewashinda wamejawa na hasira plus ubinafsi kwahiyo wanachokifanya nikuingiza hizo tabia mbovu kwa hawa mabinti wenye miaka 20+ mwisho wa siku wanajikuta hata akiolewa miezi sita kwenye ndoa hatoboi, Kuna single mother mmoja nilimkuta anaongea na wenzake anasemaje aisee mke wa fulani ana nyanyaswa kweli kila siku anafua nguo za mumewe hata hamuonei huruma daah nilibaki nashangaa hivi mwanamke kufua ni unyanyasaji wa kijinsia hawa viumbe ni nani aliye waroga , single mom ni tatizo kubwa kwa ustawi wa mabinti kwenye jamii.
Wife material ndiye anafaa!
Habari za kupangiwa ratiba za kudeki na kuosha vyombo ndio siwezi, huo usawa kwangu NOOOO
Mbona nimefafanua vizuri kwamba siamini katika usawa kwenye ndoa, naamini mwanaume ni kichwa na msaidizi wangu ni mke wangu.Kama unajielewa na kujitambua haiwezi kufikia hatua ya kuanza kujadili vitu vidogo namba hiyo. Shida itakua kubwa kuliko maneno ya kuoa, kuolewa na kuoana.
Hii kuoana sijui imefikaje huku kwetu, Mwanaume unasemaje kwamba tumeoana na mke wangu?
Wazazi humuuliza kijana wa kiume "Mwanangu unaoa lini? Siyo mwanangu "mnaoana lini
kwanza kuoana ni kauli gani? Kutendana /kutendwa? (wasoma kiswahili)Hii kuoana sijui imefikaje huku kwetu, Mwanaume unasemaje kwamba tumeoana na mke wangu?
Wazazi humuuliza kijana wa kiume "Mwanangu unaoa lini? Siyo mwanangu "mnaoana lini
Hahaaaaa.......ndoa na iheshimiwe na watu wote!!!!Naomba nichangie mifuko ya cement 50 na lori moja la kokoto kwa ajili ya ujenzi wa sanamu lako [emoji119]
Mbona nimefafanua vizuri kwamba siamini katika usawa kwenye ndoa, naamini mwanaume ni kichwa na msaidizi wangu ni mke wangu.
Huwezi kusikia kijana akiulizwa na wazazi wake "mnaoana lini "? Wazazi watamuuliza "Mwanetu unaoa lini "?
Hela ninazo dada Tena nafanya kazi moja na mme wangu Ila Kuna Raha mke kuhudumiwa Bwana......Kumbe unafanya hvyo ili uendelee kufaidi huduma za huyo baba. Sasa unajua tatizo lilipo? Tafuta pesa zako mwenyewee ili ujihudumie, acha kuhudumiwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh
Sent using Jamii Forums mobile app