Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
- Thread starter
- #81
Kiswahili 👉nakupiga +unanipiga =tumepiganaNakwambia hivi, nimetoa mahari, nnahudumua familia hiyo haibadilishi msimamo wangu kwamba TUMEOANA. Mtoto wa watu kukubali kuishi nawewe unachukua jambo dogo?
Haya mambo Kila mmoja anapeleka anavyoona inafaa. Wewe kama kutumia neno kuoana inakupa ukakasi, tafuta linalokupa furaha.
Umeoa +amekuoa =mmeoana
Is that so?