Feminist huoana, wife material huolewa. Je, unaoa/kuolewa au mnaoana?

Ni kweli, angalau huko vijijini bado mwanaume ana nafasi ila mjini hali ni mbaya sana. Vijana wanaoa kwa picha tu ila katika uhalisia hawana uwezo wa kuihudimia familia.
Au wengine wanaishi Maigizo , at the bottom Mwanamke ndo Steering wheel wa KILA kitu .

Mwamba akisimama yeye kama yeye inakuwa tatizo . Mvutano hutokea hapo ambao hauna mfano .
 
Wanaume pia wamepungukiwa uwezo wa kuoa. Wengi hawana uwezo huo, wanaweza kuoana au kuolewa. Wanawake wameweza kutafuta kipato kuliko baadhi ya wanaume, maofisini wanawake wamepewa nafasi nyingi za ajira ilihali wanataka kuolewa, wanaotakiwa kuwaoa wapo mtaani wanabeti. Huko tunakoelekea huenda wanaume watatolewa mahari na kutunzwa ndani.
Hapo ndiyo mitihani [emoji23][emoji23]unapoanzia kumtu humu alijaribu kuelezea scenario nilishangaa sana ,huwa wanajifanya wajuaji na ufeminist wao mwisho wasiku wanatafuta mwanaume mwenye muonekano hata Kama Hana maisha ndiyo wanaanza kumuhudumia plus kumfungulia miradi hatimae anaolewa nae anaanza kuvimba nae mjini lakini bila hivyo huishia kubeba waume za watu tu na kuzalishwa hovyo hovyo.
 
Inategemea a na mwanaume aiseee,hivi mme kamili anaejielewa ataruhusu kweli mke aache mtt akanywe pombe kweli??? Kwanza mme gan anaefunguamlango mke aingie katoka kulewa????
Labda hao ndio wanaume wanaosapoti "ufeminisiti "!
 
Hapo ndiyo mitihani [emoji23][emoji23]unapoanzia kumtu humu alijaribu kuelezea scenario nilishangaa sana ,huwa wanajifanya wajuaji na ufeminist wao mwisho wasiku wanatafuta mwanaume mwenye muonekano hata Kama Hana maisha ndiyo wanaanza kumuhudumia plus kumfungulia miradi hatimae anaolewa nae anaanza kuvimba nae mjini lakini bila hivyo huishia kubeba waume za watu tu na kuzalishwa hovyo hovyo.
To yeye bila maoni yako kwenye hili, tutasubiri!
 
Inategemea a na mwanaume aiseee,hivi mme kamili anaejielewa ataruhusu kweli mke aache mtt akanywe pombe kweli??? Kwanza mme gan anaefunguamlango mke aingie katoka kulewa????
Mtaani kuna varangati sio la nchi hii na hizi nyumba zinasiri sana acha tu ,haya mambo yapo mwanaume akifoka na mwanamke nae anafoka mwisho wa siku inabidi mmoja akubali yaishe
 
Hapo ndiyo mitihani [emoji23][emoji23]unapoanzia kumtu humu alijaribu kuelezea scenario nilishangaa sana ,huwa wanajifanya wajuaji na ufeminist wao mwisho wasiku wanatafuta mwanaume mwenye muonekano hata Kama Hana maisha ndiyo wanaanza kumuhudumia plus kumfungulia miradi hatimae anaolewa nae anaanza kuvimba nae mjini lakini bila hivyo huishia kubeba waume za watu tu na kuzalishwa hovyo hovyo.
Na wakishazalishwa hapo watt wakijakukia wanashindwa tu kuwaambia ukweli Ila huwa wanajua kuwa mama alikuwa Ana shida au alikuwa Malaya ndio maana alituzaa zaa hovyo kila mtt na baba yake
 
Kumbe wanawake wenye akili bado wapo aisee[emoji1666][emoji1666] ubarikiwe sana , maana yanayoendelea hivi sasa ni simanzi kwakweli ,unakuta mwanamke ananyonyesha ila hataki kunyonyesha ikifika weekend usiku mtoto anaachiwa mwanaume yeye anaenda bar kula bia mtaani kuna ujinga mwingi sana.
Hii imetokea wapi? Huyo ni baba au Houseboy?
 
Mwanamke uishi unavotaka wewe kisa unavijisent ambavyo kiukweli havina impact yoyote kwenye maisha yangu halafu uendelee kuwa na mimi hunipi furaha yoyote huna utii, umejawa na kiburi sasa wa kazi gani, shughuli zangu na kipato changu kinatosha kunipa furaha kabisa lakini ninachoshukuru kwa mama chanja shule alienda likini ni mke anayetambua kwamba mke wa mtu inabidi awe vp ameyafanya maisha ya ndoa kuwa matamu.
 
Au wengine wanaishi Maigizo , at the bottom Mwanamke ndo Steering wheel wa KILA kitu .

Mwamba akisimama yeye kama yeye inakuwa tatizo . Mvutano hutokea hapo ambao hauna mfano .
Huu ujinga wenu mtakuja kuujutia baadae hivi kweli huyo mwanaume atakae kubali kufanya hicho kitu atakuwa timamu wa akili kweli ,hivi wanawake wa hivi huwa mnaanzake kuingia kwenye ndoa
 
Kwangu haijalishi nani katoa mahari, nani anaingiza kipato kikubwa. Suala lunabaki palepale, TUMEOANA.

Mimi nimeridhia kumuoa na Yeye ameridhia kuolewa na Mimi, hapo sie TUMEOANA.
😁😁😁😁kakutolea mahari na umemtolea pia au Siyo? Vipi majukumu ya familia au kila kitu 50/50
 
Nakwambia hivi, nimetoa mahari, nnahudumia familia hiyo haibadilishi msimamo wangu kwamba TUMEOANA. Mtoto wa watu kukubali kuishi nawewe unachukua jambo dogo?

Haya mambo Kila mmoja anapeleka anavyoona inafaa. Wewe kama kutumia neno kuoana inakupa ukakasi, tafuta linalokupa furaha.
 
Mwanamke uishi unavotaka wewe kisa unavijisent ambavyo kiukweli havina impact yoyote kwenye maisha yangu halafu uendelee kuwa na mimi hunipi furaha yoyote huna utii, umejawa na kiburi sasa wa kazi gani, shughuli zangu na kipato changu kinatosha kunipa furaha kabisa lakini ninachoshukuru kwa mama chanja shule alienda likini ni mke anayetambua kwamba mke wa mtu inabidi awe vp ameyafanya maisha ya ndoa kuwa matamu.
Kitu nilichogundua mwanamke na watoto ukiwapa uhuru kupitiliza kwenye familia yako ndiyo haya mambo ya ufeminist yanatokea yaani unakuta mwanamke ameolewa lakin hajui kwanin ameolewa.
 
Mtaani kuna varangati sio la nchi hii na hizi nyumba zinasiri sana acha tu ,haya mambo yapo mwanaume akifoka na mwanamke nae anafoka mwisho wa siku inabidi mmoja akubali yaishe
Bora niende jela hapo anakula za kichwa . Ajue na atambue mwanaume ni nani na nafasi yake ni ipi
 
Back
Top Bottom