Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ahukumiwa miaka mitatu jela, na faini ya TSh. 500,000

Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ahukumiwa miaka mitatu jela, na faini ya TSh. 500,000

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuwepo nchini Tanzania bila kuwa na kibali.

1738758897020.png
Chuma cha Chuma ambaye ni msanii wa muziki na mkazi wa Mbezi Louis, anadaiwa kutenda kosa lake, Septemba 18, 2024 eneo la Las Vegas Casino, Upanga wilayani Ilala.

Uamuzi huo umetolewa leo, Jumatano Februari 5, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha shtaka dhidi ya mshtakiwa huyo.

Hakimu Ruboroga amesema mshtakiwa ni mkosaji wa mara ya pili na kwamba anahitaji kupewa adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa watu wengine.

Soma, Pia
 
Tutamkumbuka kwa chudai yake kali na Gigy money… kwa mara ya kwanza niliona sponsor anapigwa na maombi baada ya show apate dollar zaidi na gigy 😹😹
 
Sijaelewa apo kosa alitenda lasvegas casino how??? Au alishikiwa lasvegas casino?? Habari haijajitosheleza, msanii maarufu huyu? Ana kaz zp?
Alikua anaokota manzi ingine akaipige pumbu huko Mbezi Louis alipofikia huku anairekodi sasa manzi ikamgundua kua hii njemba si ndio ile iliyomtomba Gigy Money mpaka akalia ndio akamchomea waya kwa maafande wakatimba wakamtia kamba ni mtombaji alieenda viral hilo ndio kosa lake mengine mbwembwe tu kuna Waburundi kibao Nchini ambao hawana vibari na wanaishi
 
Si wangemrudisha tuu Burundi, miaka mitatu jela ya nini? Magereza yenyewe yamejaa hayana hata pa kupumulia, mahakimu wengine hovyo sana
Mtombaji huyo ndio kosa lake shida hawajamkamata red handed akiwa anatomba wakamtafutia kosa ndio hilo la kuwepo Nchini bila kibali ila kosa lake ni kuwatomba dada zenu huku anawarekodi yeye raia wa Burundi anawachukua dada zenu masikini wa Tanzania anawatomba anawarekodi anaenda kuuza video ndio hivyo alivyokua anafanya
 
Watekaji kama wale waliomteka mzee kibao wapo uraiani lakini raia mwema ambaye hajaiba chochote anafungwa kisa tu ni mrundi.Hovyo sana hii Nchi.
Una habari zozote za kuhusu huyu jamaa? Ni tapeli wa hali ya juu na kaliza watu wengi mamilioni ya fedha. Nenda Youtube u-search jina lake uone alivyoliza watu wengi.
 
Back
Top Bottom