Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ahukumiwa miaka mitatu jela, na faini ya TSh. 500,000

Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ahukumiwa miaka mitatu jela, na faini ya TSh. 500,000

Tutamkumbuka kwa chudai yake kali na Gigy money… kwa mara ya kwanza niliona sponsor anapigwa na maombi baada ya show apate dollar zaidi na gigy 😹😹
😂😂😂😂Kumbe Ile dhambi na wew uliipata my Wii Leo gigy atapika pilau
 
Mtombaji huyo ndio kosa lake shida hawajamkamata red handed akiwa anatomba wakamtafutia kosa ndio hilo la kuwepo Nchini bila kibali ila kosa lake ni kuwatomba dada zenu huku anawarekodi yeye raia wa Burundi anawachukua dada zenu masikini wa Tanzania anawatomba anawarekodi anaenda kuuza video ndio hivyo alivyokua anafanya
Moderator
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuwepo nchini Tanzania bila kuwa na kibali.

Chuma cha Chuma ambaye ni msanii wa muziki na mkazi wa Mbezi Louis, anadaiwa kutenda kosa lake, Septemba 18, 2024 eneo la Las Vegas Casino, Upanga wilayani Ilala.

Uamuzi huo umetolewa leo, Jumatano Februari 5, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha shtaka dhidi ya mshtakiwa huyo.

Hakimu Ruboroga amesema mshtakiwa ni mkosaji wa mara ya pili na kwamba anahitaji kupewa adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa watu wengine.

Soma, Pia

Alikuwa hajui maana ya "watoto wa mjini' na "wakuja".
 
Unaelewa sheria za uhamiaji
Amelinga ukubwa wa makosa, kuteka na kuua hata adhabu zake huwa kubwa sana tofauti na uhamiaji haramu.
Uhamiaji haramu < kuteka na kuua.

Kilichoshangaza ni watekaji na wauaji wanaachwa bila kuchukuliwa hatua yoyote huku people with lesser crimes ndiyo wanavaliwa njuga huku literally madhara ya makosa yao wananchi hawayafahamu wala hayaonekani katika jamii.
Watekaji na wauaji wakamatwe na wapelekwe mahakamani.
 
Huyo mtu amehukumiwa kihalali au kimakosa.. siyo Kila kitu Cha kukosoa kwanini Trump anafukuza wahamiaji haramu na wananchi wake wanamuunga mkono,,,nenda nchi za watu halafu wakukamate unaishi kimagumashi wakukamate Kama watakuonea huruma.
 
Back
Top Bottom