Kanikumbusha jamaa mmoja Mrundi Rasta alikuwa anaitwa Ras Jampara, alikuqa ana hang sana Upanga.
Yule jamaa sijui kama alikuwa na vibali naye, ila siku zile watu walikuwa hawafuatilii sana.
View: https://youtu.be/SiChFG39rIs?si=fIVxXBtApzBzymc_
Reggae kali sana ikihusisha ngoma za kiRundi. Ubunifu wa viwango.