B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Feb 5, 2025 #61 Kiranga said: Kanikumbusha jamaa mmoja Mrundi Rasta alikuwa anaitwa Ras Jampara, alikuqa ana hang sana Upanga. Yule jamaa sijui kama alikuwa na vibali naye, ila siku zile watu walikuwa hawafuatilii sana. View: https://youtu.be/SiChFG39rIs?si=fIVxXBtApzBzymc_ Click to expand... Reggae kali sana ikihusisha ngoma za kiRundi. Ubunifu wa viwango.
Kiranga said: Kanikumbusha jamaa mmoja Mrundi Rasta alikuwa anaitwa Ras Jampara, alikuqa ana hang sana Upanga. Yule jamaa sijui kama alikuwa na vibali naye, ila siku zile watu walikuwa hawafuatilii sana. View: https://youtu.be/SiChFG39rIs?si=fIVxXBtApzBzymc_ Click to expand... Reggae kali sana ikihusisha ngoma za kiRundi. Ubunifu wa viwango.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Feb 5, 2025 #62 bagamoyo said: Reggae kali sana ikihusisha ngoma za kiRundi. Ubunifu wa viwango. Click to expand... Huyu mchizi alikuwa rafiki yangu sana alivyokaa Upanga hapo miaka hiyo.
bagamoyo said: Reggae kali sana ikihusisha ngoma za kiRundi. Ubunifu wa viwango. Click to expand... Huyu mchizi alikuwa rafiki yangu sana alivyokaa Upanga hapo miaka hiyo.
Toughlendon JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 498 Reaction score 724 Feb 5, 2025 #63 Juice world said: Huyu si ndio aliwafokoa kina Amber lulu na gig money Click to expand... Yaap
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Feb 5, 2025 #64 Sappire said: Watekaji kama wale waliomteka mzee kibao wapo uraiani lakini raia mwema ambaye hajaiba chochote anafungwa kisa tu ni mrundi.Hovyo sana hii Nchi. Click to expand... Kwa hiyo sheria ya adhabu ya nchi hii inatambua kosa la kuiba tu.
Sappire said: Watekaji kama wale waliomteka mzee kibao wapo uraiani lakini raia mwema ambaye hajaiba chochote anafungwa kisa tu ni mrundi.Hovyo sana hii Nchi. Click to expand... Kwa hiyo sheria ya adhabu ya nchi hii inatambua kosa la kuiba tu.