Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
- Thread starter
-
- #21
Nina vijana walikuwa na mchezo kama huu kiukweli kabisa walikufa vibaya mno kwa ngoma.Ila yule mwamba alidhidi yaani "saa kumi na mbili nakutana na mademu wawili achana na yule tunayeonana saa mbili"
Tupia lyrics zake zote mkuu ikibidi😂.Ila yule mwamba alidhidi yaani "saa kumi na mbili nakutana na mademu wawili achana na yule tunayeonana saa mbili"
Kweli kiongozi ni funzo kwetuNina vijana walikuwa na mchezo kama huu kiukweli kabisa walikuda vibaya mno kwa ngoma.
Haya maisha hayadanganyi
* Hapa nilipo mimi nipo kitandani. Starehe zimeniweka matatani. Kupona tena mimi haiwezekani."Tupia lyrics zake zote mkuu ikibidi😂.
Nikilishusha nitalia sana linanikumbusha wanangu sna wa kipindi icho waliokufa kwa Ngoma 😔Tupia lyrics zake zote mkuu ikibidi😂.
Hii song ni noma sanaNikilishusha nitalia sana linanikumbusha wanangu sna wa kipindi icho waliokufa kwa Ngoma 😔
Dalili ye umeme sinaMkuu kwa hili tuna matumaini hauna dalili ya umeme
Linaleta kumbukumbu fulani hiv plus mafunzo teleHii song ni noma sana
Ferooz kwenye korasi alikiwa njema sana aise* Hapa nilipo mimi nipo kitandani. Starehe zimeniweka matatani. Kupona tena mimi haiwezekani."
- Sasa najuta, mwenzenu yamenikuta. Ibilisi amefanikiwa kunivuta."
- "Kwaherini, kwaherini, kwaherini. Makongo na Jiteute, kwaherini. Mohaa na Azania, kwaherini."
Mi nalikubali Ile ya FA na JD 'alikufa kwa ngoma'.Nikilishusha nitalia sana linanikumbusha wanangu sna wa kipindi icho waliokufa kwa Ngoma 😔
Hakuwahi kuiasi dini 😂😂😂ila chuma kilikufa kwa NgomaMi nalikubali Ile ya FA na JD 'alikufa kwa ngoma'.
Hakuwahi kuonekana na binti, lakini alikufa kwa ngoma'.
Alipiga sana. He did beyond expectationsFerooz kwenye korasi alikiwa njema sana aise
Ni nyimbo zikizojaa na kushiba maonyo na makemeo. Wakiufundisha umma uache kunyanyapaa waathirika kwani sio kila Mwathirika amefanya uzinzi.Mi nalikubali Ile ya FA na JD 'alikufa kwa ngoma'.
Hakuwahi kuonekana na binti, lakini alikufa kwa ngoma'.
Aisee hiyo Kivesi Prof aliua sana. Ilikuwa reality kabisa. Ali play character Halisi ya Kidaktari.No -no!!
Hayo ni maamuzi ya ajabu.
Ile Hiphop ilikuwa na ladha ya aina yake.Aisee hiyo Kivesi Prof aliua sana. Ilikuwa reality kabisa. Ali play character Halisi ya Kidaktari.
Kali sana. Ukiisikia ni mawili, uchape kazi sana. Au uburudike zaidi. Hakuna in btnIle Hiphop ilikuwa na ladha ya aina yake.