Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Wimbo wa hizunii unanikumbisha enzii izo UKIMWI ULIKUAGA JANGA LA TAIFA maana Benjamin mkapa akiwa RAISI ALITANGAZA UKIMWI KAMA CALAMITIES YA TAIFANgoja Dr am 4 real PhD na KENZY waje maana wao ni wajuaji wa miziki hii.
- --Naam song ilikuwa powa sana. Vipi lakini mkuu umeingia shimo lenye siafu nini.?🤔
It was huge public health concern.BACK TO THE TOPIC WAY BACK 😁 2002 -2003 Ndio kipindi feruoz alipo achia hiyo Ngoma kama sikosei KUNA JAMAA ALIKUA NA UKIMWI NI YANKII TO UKIMWI WA ENZII IZO ULIKUA UNAKONGOLOKA KAMA WALE WATOTO WENYE UTAPIA MLO SUDANI YA KUSINI ENZII ZILEEE
Wadudu bado wapo sana.- --
Hali ni Mbayaa Sana | UKIMWI: Hali na Tahadhari
You are right, he exceeded expectationsALL IN ALL, WIMBO ULIKUAGA MKALI SANAAA TUNAUPA 10/10
Siafu ni wadudu wanaong'ata sehemu laini laini za mwili mkuu 😁- --
Hali ni Mbayaa Sana | UKIMWI: Hali na Tahadhari
Nilikiwa nao ila nilabadili simu ndiyo maana Sina.wimbo unaukubali na hauna unazingua kijana...😅
Duh, pole kwa familia iliyompoteza mpendwa wao mwanzoni mwa miaka ya 2000 kutokana na janga la ukimwi.Wimbo wa hizunii unanikumbisha enzii izo UKIMWI ULIKUAGA JANGA LA TAIFA maana Benjamin mkapa akiwa RAISI ALITANGAZA UKIMWI KAMA CALAMITIES YA TAIFA
BACK TO THE TOPIC WAY BACK 😁 2002 -2003 Ndio kipindi feruoz alipo achia hiyo Ngoma kama sikosei KUNA JAMAA ALIKUA NA UKIMWI NI YANKII TO UKIMWI WA ENZII IZO ULIKUA UNAKONGOLOKA KAMA WALE WATOTO WENYE UTAPIA MLO SUDANI YA KUSINI ENZII ZILEEE
SASA RAIA MTAANI KWAO WAKAWA WANA MPIGIA ULE WIMBO NA BY THEN UNYANYAPAA ULIKUAGA WA KUWANGO CHA SGR FOR SURE YULE JAMAA KUTOKANA NA WIMBO WA FEROOZ ALIJIUA KWA KUJINYONGA
ALL IN ALL, WIMBO ULIKUAGA MKALI SANAAA TUNAUPA 10/10
Ilikuaga ni dhahama enzi ZILE kina mama TERRY walifanya kazi kubwa Sana Sana kupambana na unyanyapaaDuh, pole kwa familia iliyompoteza mpendwa wao mwanzoni mwa miaka ya 2000 kutokana na janga la ukimwi.
Hivi Mama Terry siku hizi yuko wapi?Ilikuaga ni dhahama enzi ZILE kina mama TERRY walifanya kazi kubwa Sana Sana kupambana na unyanyapaa
Mkuu, kama sikosei, nadhani WHO nao waliu-mind!Kabla ya kutuma pesa ya kuhonga napiga huo wimbo kwanza, mwisho wa siku najikuta hiyo pesa ya kuhonga nipo bar nakula vitu
Sijui atakua yupo hai kweli ikimpendeza mwanzishie thread najua unawezaaHivi Mama Terry siku hizi yuko wapi?
Haaahaa 😆 🤣 🤣Kabla ya kutuma pesa ya kuhonga napiga huo wimbo kwanza, mwisho wa siku najikuta hiyo pesa ya kuhonga nipo bar nakula vitu
Kuna Uzi wake ulikuwepo ngoja niutafute hapa.Sijui atakua yupo hai kweli ikimpendeza mwanzishie thread najua unawezaa
Hata kutumia condom siklutambua... Nilijua ladha ya mapenzi itapungua... kumbe nilikua napotea njia...
Pole sana... Ndiyo maisha hayo...Chorus (Ferouz)
Hapa nilipo mimi nipo kitandani
Starehe zimeniweka matatani
Kupona tena mimi haiwezekani
Masela wangu ndugu zangu buriani
Kwaherini, kwaherini, kwaherini
Sua side Scott Jenta kwaherini
Bongo Record na Majani kwaherini
Hamtoniona tena duniani
Sasa najuta, mwenzenu yamenikuta
Ibilisi amefanikiwa kunivuta
Sasa sijui wa kumlaumu nani
Kati ya nafsi yangu ama shetani!
Kwaherini, kwaherini, kwaherini
Makongo na Jiteute, kwaherini
Mohaa na Azania, kwaherini
Aan haa, haaa, haaa
Verse 1 (Ferouz):
Saa saba juu ya alama saa nikiitazama/
Nimeshaachana na Jack sasa namfata Salama.
Saa kumi na mbili na appointment mademu wawili/
Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili.
Jenny wa Mikocheni ambaye sasa hayupo tena duniani/
Aliyekuwa akinisubiria pale Vatican Kijiweni.
Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni/
Na kila siku nawabadilisha tena kwa foleni.
Huo ndio uliokuwa mwenendo wa maisha yangu,
Mimi viwanja kujivinjari na machangu oh ooh
Niliona fahari ii yeah...
Starehe mi nilizifanyia papara,
Nilibadili mademu kama vidaladala.
Nikienda nimepanda hili, nikirudi lile,
Nilitamani starehe zote nizitawale.
Hata kumkumbuka Mola wangu ilikuwa ndoto,
Nilitekwa na ulimwengu kumbe naukimbilia moto.
Katika kubadili wasichana nilikubuhu,
Nilitembea na watoto wa geti, machangu na masista duu!
Ubaya kwamba condom sikuitambua/
Kwa kujua kwamba ladha ya mapenzi itapungua.
Kumbe nilikuwa ninapotea njia/
Niliyoshauriwa mimi niliyapuuzia.
Idadi ya wanawake ikawa lukuki/
Ikafika kipindi wengine nikawa siwakumbuki!
Ona, ona aa!!
Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri,
Nilishamsahau kama tulishakutana kimwili!
Nilivyomuona, nikamtongoza tena,
Tena kwa mara ya pili.
Ona sasa aa aah!!
Na bwana Feruzi akalamba JEEP toka kwa Mkapa kwa sababu ya wimbo huu..!!Kila ninaposikia Wimbo wa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi.
Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, wafaa kwa wazee, vijana wa kike na wa kiume.
Kwa kweli waliupiga mwingi sana.
* Hapa nilipo mimi nipo kitandani. Starehe zimeniweka matatani. Kupona tena mimi haiwezekani."
- Sasa najuta, mwenzenu yamenikuta. Ibilisi amefanikiwa kunivuta."
- "Kwaherini, kwaherini, kwaherini. Makongo na Jiteute, kwaherini. Mohaa na Azania, kwaherini.