King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Aiseee ilikuwa hatari sana ,ule wimbo wakati unatoka tulikuwa tunaugonga kuanzia asubuhi mpaka jioni na kwenye ile video yule jamaa aliyestuka baada ya feruz kukohoa alitisha.Kila ninaposikia Wimbo wa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi.
Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, wafaa kwa wazee, vijana wa kike na wa kiume.
Kwa kweli waliupiga mwingi sana.
* Hapa nilipo mimi nipo kitandani. Starehe zimeniweka matatani. Kupona tena mimi haiwezekani."
- Sasa najuta, mwenzenu yamenikuta. Ibilisi amefanikiwa kunivuta."
- "Kwaherini, kwaherini, kwaherini. Makongo na Jiteute, kwaherini. Mohaa na Azania, kwaherini.
Ferouz aliutendea haki WakatiAiseee ilikuwa hatari sana ,ule wimbo wakati unatoka tulikuwa tunaugonga kuanzia asubuhi mpaka jioni na kwenye ile video yule jamaa aliyestuka baada ya feruz kukohoa alitisha.
Feruz alipewa zawadi ya Jeep na aliyekuwa Rais ya awamu ya tatu BWM(M.A.P).
Huku ukiwa unataka kunyemelea ma BarmaidsHalafu unakuta wimbo kama huo unapigwa Bar, inakata stimu kabisa
Feruz alipewa zawadi ya Jeep na aliyekuwa Rais ya awamu ya tatu BWM(M.A.P).
Hilo alishakanushaga sana kwenye interview zake,anasema kipindi anapongezwa na mkapa kipindi hicho mo Rais ndo wakati huo huo katoka kununua hiyo gari ndo chanzo Cha hizo habari kusambaa kuwa kanunuliwa lakini sio kweli.
Sasa tufanyeje Mkuu, Embu Mtafute Mkapa aje hapa athibitishe ukweli uko wapOkay ,nilimsikia akikanusha kuhusu kupewa zawadi na BWM ila juzi kwenye Podcast ya Dudubaya alimwambia live kwamba Mkapa alimpa Jeep na asibishe wala nini.
Wasanii si watu wa kuwaamini sana.
Mkuu wanaouza wengi wao bila kinga humli,ila kwenye ndoa UNALAZIMIKA kula bila kinga,hapo ndipo pagumu sana,mke anapigwa bila kinga anauvagaa,wewe unapiga kwa kinga kwa malaya,ukirudi kwa mkeo unavua ndomu,mke anakupa ngoma.Ni hatari."......huo ndio ulikuwa mtindo wa maisha yangu, nilitamani kujivinjari na machangu...."
Kuna mtu anasema afadhali kununua..hahaha
Yeah baada ya Msaada mkubwa wa USAID afya kuwaelimisha malaya wote. Huwezi kumla bila Kinga.Mkuu wanaouza wengi wao bila kinga humli,ila kwenye ndoa UNALAZIMIKA kula bila kinga,hapo ndipo pagumu sana,mke anapigwa bila kinga anauvagaa,wewe unapiga kwa kinga kwa malaya,ukirudi kwa mkeo unavua ndomu,mke anakupa ngoma.Ni hatari.
Dawa nikununua wale wauzaji rasmi,ambao most of them ni kinga oriented,maana hawezi akagongesha pekupeku halafu aende akatege tena,mbali na kuogopa kunasa.Yeah baada ya Msaada mkubwa wa USAID afya kuwaelimisha malaya wote. Huwezi kumla bila Kinga.
Ila mtaani wanagawa bila kandambili. Ndio balaa lilipo
Yaani mkuu hadi leo hii, katika wimbo ule sehemu amabayo naisubiri kwa utulivu ni yule mshkaji anapostuka kwa kikohozi cha Ferudhi🤣🤣🤣🤣kwenye ile video yule jamaa aliyestuka baada ya feruz kukohoa alitisha.
Feruz alipewa zawadi ya Jeep na aliyekuwa Rais ya awamu ya tatu BWM(M.A.P).
Yaani mkuu hadi leo hii, katika wimbo ule sehemu amabayo naisubiri kwa utulivu ni yule mshkaji anapostuka kwa kikohozi cha Ferudhi🤣🤣🤣🤣
No Ni sua side hii ni camp kama ya east coastNadhani wanamaanishi suicide yaani kujitoa muhanga......watakuwa wameandika tu kwa kiswahili/wametohoa.
Japo Sina uhakika.
Dah, wanamuziki wa zamani walikuwa na camp nyingi sana aisee.No Ni sua side hii ni camp kama ya east coast