Ferrari wamezindua Ferrari Luce: Ferrari ya kwanza ya umeme kwa Tsh Billion 1.7 tu!

Mkuu

Shukrani Kwa Moyo Wako Wa Kutufanya Twende Na Wakati Hata Kama Uwezo Wa Kumiliki Chuma Hiyo Hatuna Tunaendelea Kujifariji Kwa Misemo/Nahau Za Kiswahili

Kuona Siyo Kuchukua
Fahari Ya Macho Haifirisi Duka
 

sijui ndo kulala na nyoka . Au kuvamia BOT pale 😂. Iyo bei sio mchezo😎.
 
2.5 sec tayari ushafika 100 wale wa kufuta kisahani barabara ya urefu wa mita 100 inatosha kutimiza ndoto.
 
Na hii ndio wanapofeli. Vita ya Mchina sahivi yamoto sana. Bora wapambane na hybrids na ICE.
 
Mkuu

Shukrani Kwa Moyo Wako Wa Kutufanya Twende Na Wakati Hata Kama Uwezo Wa Kumiliki Chuma Hiyo Hatuna Tunaendelea Kujifariji Kwa Misemo/Nahau Za Kiswahili

Kuona Siyo Kuchukua
Fahari Ya Macho Haifirisi Duka
Hahahahaa pamoja sana kaka.
 
kitu

<iframe width="1426" height="802" src="
View: https://www.youtube.com/embed/uMlSrWWbjpY" title="FIRST LOOK at the Ferrari Luce - the first electric Ferrari looks NOTHING like any other Ferrari..." frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture; web-share" referrerpolicy="strict-origin-when-cross-origin" allowfullscreen></iframe>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…