Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota

Binafsi Rumba ndio favorite Muziki kwangu, kila siku lazima nisikilize rumba.

Kwa bahati mbaya sijawahi vutiwa na content kutokana na barrier ya Lugha.

Vyombo na Tone ya muimbaji/waimbaji inatosha kabisa kwangu. Kwa kuzingatia vigezo hivyo huwa sijali kabisa wimbo umeimbwa na nani wala unahusu nini.

Hakika Rumba ni habari nyingine. Tafuta mixing ya
Kupanda, Frere ardour by Madilu.
Callins na Icon of Afrika by Wazekwa
Bana ba Cameron by Samangwana
Cadenas, 1000Mawa, attente, by ipupa
Mercure, 100 Kilos by Gola
Reine de saba by Heritier Wata
Mamiwata by Mayaula
Mario, Ngugi, layile by Franco
Ndaya by Mpongo Love
Double Mbonda by Koffi

Na wengine weeeeeengi....

Washa redio yako, kwa sauti reasonable kidogo sio ya kujibanabana kivile. Kula rumba hilo ukiendelea kufanya yako.

Aisee, wakati nasoma msuli hauwezi kwenda bila kusindikizwa na rumba.


Afrika is Great!
 
Fere gola mwamba na nusu,
I listen to most of his hits, he sounds in my playlist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…