G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Huo ni wimbo wa taifa wa Bar zote nchini. Ukienda bar ukaagiza hadi unaondoka bila kupigwa hio nyimbo ni uhaini 🤣🤣🤣! Usirudi tena kwenye hio bar.Ferre yuko vizuri, nikinunua gari lazima niisikilize 100 killos kwenye ndinga