Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
- Thread starter
- #41
Kuna hii " Eclipse' nayo noma . Jamaa anajua kulalamika sana mpaka unakuhamisha dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaeleza na watoto wapendao singeli?Huyu jamaa ni Mfalma we Rhumba za kweli. Ni mwanamuziki ambaye ukiwa mpenzi wa Rhumba lazima utenge siku maalum ya kusikiliza mziki wake. Bahati mbaya Dunia ya Sasa inataka vitu feki kuliko original.
Kama Dunia ingetenda haki, basi FERRE GOLA angekua juuu sana. Mfalme huyu hajapata heshima anayo stahili na wala nyote yake haiwaki inavyopaswa.
Gola anazo nyimbo nzuri zenye ushauri na kukupa maadili ya maisha. Mungu amtunze huyu Franco wa kizazi hiki.
Leo nimeamka na Rhuma ya Gola, nilipofika kwenye ngoma inaitwa "Qui vivra verra" imebidi niweke repeat mode.
Jamaa amelalamika sana juu ya haya maisha ya kubangaiza huku akiamua kumuachia Mungu aamue hatma yake.
Imejikimbusha ngoma zake zingine kama Maboko Pamba, hii nayo ni balaa lingine.
Jaribu kusikiliza Qui vivra verra, sikiliza mwanaume analia sababu ya maisha magumu, sikiliza guitar rhythm na Bass tulivu. Sikiliza solo yenye heskima na heshima.
Wimbo wa mwaka 2013 lakini utadhani umetoka Jana.
Team Golla kula Tano mwanangu.
jamaa anajua sanaFerre Gola anaujua muziki na rhumba yake haichuji na muziki wake unaishi sana
Porte monnaie naweza kusikiliza siku nzima,ninazo zote hizi,ila ikifika hiyo you naweka repeat mpaka siku inaisha.Hizo nyimbo nasikiliza kwa radio ya gari na zinaniburudisha sanaKamasutra
100 kilos
Vita imana
Porte mannaie
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
biberonKamasutra
100kilo rmx
3eme doigt
Tusioelewa lugha anayoimba tuna-comment wapi.Huyu jamaa ni Mfalma we Rhumba za kweli. Ni mwanamuziki ambaye ukiwa mpenzi wa Rhumba lazima utenge siku maalum ya kusikiliza mziki wake. Bahati mbaya Dunia ya Sasa inataka vitu feki kuliko original.
Kama Dunia ingetenda haki, basi FERRE GOLA angekua juuu sana. Mfalme huyu hajapata heshima anayo stahili na wala nyote yake haiwaki inavyopaswa.
Gola anazo nyimbo nzuri zenye ushauri na kukupa maadili ya maisha. Mungu amtunze huyu Franco wa kizazi hiki.
Leo nimeamka na Rhuma ya Gola, nilipofika kwenye ngoma inaitwa "Qui vivra verra" imebidi niweke repeat mode.
Jamaa amelalamika sana juu ya haya maisha ya kubangaiza huku akiamua kumuachia Mungu aamue hatma yake.
Imejikimbusha ngoma zake zingine kama Maboko Pamba, hii nayo ni balaa lingine.
Jaribu kusikiliza Qui vivra verra, sikiliza mwanaume analia sababu ya maisha magumu, sikiliza guitar rhythm na Bass tulivu. Sikiliza solo yenye heskima na heshima.
Wimbo wa mwaka 2013 lakini utadhani umetoka Jana.
Team Golla kula Tano mwanangu.
Kuna dude kinaitwa "Kinshasa" Duh Munguwangu. Humu FERRE amepasua jipu balaa. Jamaa ameimba kumnanga mchepuko. Yaani baada ya kuopoa mchepuko, Sasa mchepuko ukawa na spidi kuliko mke wa ndani. Jamaa kaanza kutelekeza familia, Sasa Kwa bahati akashtuka mapema. Imagine katika Dunia ya mapenzi jamaa anaimba Madini kama haya. Huku mdundo uko high. Humor Yuko na mwanadada Leticia Melody wana