Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota

Kuna hii " Eclipse' nayo noma . Jamaa anajua kulalamika sana mpaka unakuhamisha dunia
 
Kuna dude kinaitwa "Kinshasa" Duh Munguwangu. Humu FERRE amepasua jipu balaa. Jamaa ameimba kumnanga mchepuko. Yaani baada ya kuopoa mchepuko, Sasa mchepuko ukawa na spidi kuliko mke wa ndani. Jamaa kaanza kutelekeza familia, Sasa Kwa bahati akashtuka mapema. Imagine katika Dunia ya mapenzi jamaa anaimba Madini kama haya. Huku mdundo uko high. Humor Yuko na mwanadada Leticia Melody wanajibizana mpaka Raha.
 
Kuna dude kinaitwa "Kinshasa" Duh Munguwangu. Humu FERRE amepasua jipu balaa. Jamaa ameimba kumnanga mchepuko. Yaani baada ya kuopoa mchepuko, Sasa mchepuko ukawa na spidi kuliko mke wa ndani. Jamaa kaanza kutelekeza familia, Sasa Kwa bahati akashtuka mapema. Imagine katika Dunia ya mapenzi jamaa anaimba Madini kama haya. Huku mdundo uko high. Humor Yuko na mwanadada Leticia Melody wana
 
Unawaeleza na watoto wapendao singeli?
 
Ujinga unaingiaje hapo 🌝🌝🤣😂 na unge andika bila kusema neno ujinga ungepungukiwa nn?
😊😊🤓🤓😎😎
 
Kamasutra
100 kilos
Vita imana
Porte mannaie
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Porte monnaie naweza kusikiliza siku nzima,ninazo zote hizi,ila ikifika hiyo you naweka repeat mpaka siku inaisha.Hizo nyimbo nasikiliza kwa radio ya gari na zinaniburudisha sana
 
100 kilos it's my best song,hata kama Nina mawazo Huwa unanifariji sana,ilibidi nitafute tafsiri yake,
 
Hapana sio Hana nyota huyu jamaa nyota iko juu sana ila ulionao karibu hawamjui
Ferre ni Habari nyingine kabisa ktk rhumba
 
Huyu ndo msanii wangu namba 3 ninayemkubali hapa duniani.
1. Koffi Olomide (Genius)
2. Madillu system (Mzee wa masauti)
3. Ferre gola (Fundi wa Rhumba)
4. Fally ipupa (Mkali wa Genre zote)

Hizi ndo nyimbo 76 za ferre gola ninazozipenda na kuziimba mwanzo mwisho.
 
Tusioelewa lugha anayoimba tuna-comment wapi.
 

mara nyingi hiyo ngoma huwa naiweka ktk loop mode.

since title yake ni Kinshasa, nilikuwa nadhani anaimba kuhusu kusifia jiji la kinshasa.

kuna hii ngoma yake nyingine tamu sana, inaitwa "ma meilleure chemise". humu ndani ferre ame-fuse hii ngoma na flavor za mziki wa salsa ambao ni maarufu kule latin america.

ukipata muda isikilize kwenye app ya boomplay. balaaa[emoji91][emoji91][emoji91].
Ma meilleure chemise | Boomplay Music
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…