Fesheni ya watoto! Cool saaana!

Mimi sijui fashion, ila naona kumvalisha mtoto hivi kama 'too much' vile.....

 
Hahaha na Mbeya japo ni kwetu ila kunakupausha rangi uwii
unaona sasa! hii ni mipango ya mungu tuwe pamoja. hata atoto atakubali. kifasheni huku wanasema kuna dry winter hivyo unapaswa kupaka mafuta yanayotunza unyevu wa ngozi na kukinga jua. unakuta baridi lakini jua likitoka lina unguza sababu ya low humidity. kwahiyo hapa kutoa posa naelekea wapi?
 
Mimi sijui fashion, ila naona kumvalisha mtoto hivi kama 'too much' vile.....

Hahahah watoto wengi wa hivi unakuta ni watoto wa fashoonistas, au Vitoto vyenyewe vinafanya modelling...
 
Mmh umechelewa na wewe bana teh. Yani Mbeya napapenda ila lile baridi daah
 
Nope mpendwa, me nimependa tu swagga za hao watoto, wangu si ntamvalisha according na mazingira yetu. Teh me ntaolewa tu na mbongo mwenzangu Inshallah, ugonjwa wangu ni ngozi nyeusi teh
Mkoroshokigoli pita huku, kuna mtu "maradhi" yake udongo wa "kicheba"[emoji12]
 
Nyingine hazina uhalisia fesheni gani uku wengine miwani walizovaaa zimewazidi sura??? Kwan za kitoto hamna? Ni kuforce mambo tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…