Fesheni ya watoto! Cool saaana!

Fesheni ya watoto! Cool saaana!

Mimi sijui fashion, ila naona kumvalisha mtoto hivi kama 'too much' vile.....

BABY.jpg
 
Hahaha na Mbeya japo ni kwetu ila kunakupausha rangi uwii
unaona sasa! hii ni mipango ya mungu tuwe pamoja. hata atoto atakubali. kifasheni huku wanasema kuna dry winter hivyo unapaswa kupaka mafuta yanayotunza unyevu wa ngozi na kukinga jua. unakuta baridi lakini jua likitoka lina unguza sababu ya low humidity. kwahiyo hapa kutoa posa naelekea wapi?
 
Mimi sijui fashion, ila naona kumvalisha mtoto hivi kama 'too much' vile.....

BABY.jpg
Hahahah watoto wengi wa hivi unakuta ni watoto wa fashoonistas, au Vitoto vyenyewe vinafanya modelling...
 
unaona sasa! hii ni mipango ya mungu tuwe pamoja. hata atoto atakubali. kifasheni huku wanasema kuna dry winter hivyo unapaswa kupaka mafuta yanayotunza unyevu wa ngozi na kukinga jua. unakuta baridi lakini jua likitoka lina unguza sababu ya low humidity. kwahiyo hapa kutoa posa naelekea wapi?
Mmh umechelewa na wewe bana teh. Yani Mbeya napapenda ila lile baridi daah
 
Nyingine hazina uhalisia fesheni gani uku wengine miwani walizovaaa zimewazidi sura??? Kwan za kitoto hamna? Ni kuforce mambo tuu.
 
Back
Top Bottom