FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

Hahaha eti WTF we nae mtata sijui kaelewa maskini anyway.. Pokello and Dillish my next eviction choice!

Hawezi elewa hata siku moja...anatia aje huruma...dillish na pokello hawatoki bro...anatoka maria and maybe hakeem
 
Hahah eti wanaoangalia BBA ni wasomi,,,grow up msichana na umalizie kwanza Diploma yako.
 
Kumbe mtu mzima hovyo au aisee!
 
Sasa mimi na wewe nani anavitabia vya kina dada? By the way sina dada pole yako.
 
Mkuu pokello kakuvutia nn? Namwona km ana dharau nying af skupenda alivyokua anamsema feza bout oneal

Pokello simkubali hata kidogo...kwanza mmbea na hapatani na feza....alimsema nini feza about oneal
 
Sasa mimi na wewe nani anavitabia vya kina dada? By the way sina dada pole yako.

Aisee tunabishana nini ndugu yangu thread haikuhusu umejipanuuuuua ka mbwa koko.. Hivi vitabia vinafanana na samaki mmoja anapatikana bahar ya hind anaitwa CHANGU we chukua jina tu achana na samaki unaona bonge ya deal kujibizana na kaka zako utambie uswahilini unapoteza mda bure hapo internet cafe hiyo mia tano ungenunua maji ya uhai ili kujiokoa na maji yenu ya tandale km maziwa.. Haya nijibu mana nshakua roll model wako... Unavyojikomba komba mxxiiiuuuuuuuu... A.H
 
Pokello simkubali hata kidogo...kwanza mmbea na hapatani na feza....alimsema nini feza about oneal

Feza na oneal si waligombana kipind flan oneal ws jelous sku ya club feza alikua ana huk up na guys kwa sana sa elikem na pokello wakawa wana mpiga umbea yaan majungu tu si unajua km vile vitabia vya stata mzuka..
 
Mbona unaandika kiFacebook mkuu? iPad3 kwenye mkono kwa raha zangu na Unlimited Net.
 
Natamani Hakeem na Bolt watoke

Hakeem na cleo kwanza mana bolt sio threat kwanza hajawahi na hatokosa nomination nahisi hata akirudi siera leone bado majirani wata mnominate tu jamaa ni less valuable kishenz pale betty alionekana of the same xter baada ya kua nae... To hell na mimba yao!
 
Feza na oneal si waligombana kipind flan oneal ws jelous sku ya club feza alikua ana huk up na guys kwa sana sa elikem na pokello wakawa wana mpiga umbea yaan majungu tu si unajua km vile vitabia vya stata mzuka..

Ooh...nimekupata..ila pokello ni strong competitor hawezi toka dis week
 
Eeeh unasema...na maana Betty alibeba kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…