BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Hahaha eti WTF we nae mtata sijui kaelewa maskini anyway.. Pokello and Dillish my next eviction choice!
Natamani Hakeem na Bolt watoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha eti WTF we nae mtata sijui kaelewa maskini anyway.. Pokello and Dillish my next eviction choice!
Hahaha eti WTF we nae mtata sijui kaelewa maskini anyway.. Pokello and Dillish my next eviction choice!
Natamani Hakeem na Bolt watoke
I wish nando/feza/pokello to take da prize,,,
Feza hatodumu kameingia mtego wa kuendekeza mapenzi
Jamani mijitu mingine kama thread haiwausu wanawashwa ama....au ndo tuseme DSTV wanashindwa kulipia hadi waionee BAR....halafu watakuwa hawaelewi kwasababu ya elimu zaoza kuunga unga....watu wanao angalia BBA ni wasomi na maisha yao ni very succesful...tuanze ku comment in English tuone kama hao wapumbafu watajibu...
pumbavu,,,,,i graduated ftc in civil eng in 1990 at dar tech(d.i.t),,,degree from udsm,,masters at dublin institute of technology,,kwanza education doesnt matter in life even if it matters i have,,i have a descent life,,my first kid is married and completed udsm in 07
Ahh mi kuangalia ntaangalia tu ila bi se ..kama ww huwe achwa hiv hiv lazima tukwambie ukweli mana tukikuacha na hivi vitabia mwisho wa cku utavaa nguo za ndan za dada zako af utaona sawa tu.. U'll nat get rid of my capacity! Wish u cud ever never tried..!!!
hahaahahaha,,you have made my day,,,,yaan watu wengine ni bureee kabisa
Mkuu pokello kakuvutia nn? Namwona km ana dharau nying af skupenda alivyokua anamsema feza bout oneal
Mkuu pokello kakuvutia nn? Namwona km ana dharau nying af skupenda alivyokua anamsema feza bout oneal
Kumbe mtu mzima hovyo au aisee!
Sasa mimi na wewe nani anavitabia vya kina dada? By the way sina dada pole yako.
Pokello simkubali hata kidogo...kwanza mmbea na hapatani na feza....alimsema nini feza about oneal
Aisee tunabishana nini ndugu yangu thread haikuhusu umejipanuuuuua ka mbwa koko.. Hivi vitabia vinafanana na samaki mmoja anapatikana bahar ya hind anaitwa CHANGU we chukua jina tu achana na samaki unaona bonge ya deal kujibizana na kaka zako utambie uswahilini unapoteza mda bure hapo internet cafe hiyo mia tano ungenunua maji ya uhai ili kujiokoa na maji yenu ya tandale km maziwa.. Haya nijibu mana nshakua roll model wako... Unavyojikomba komba mxxiiiuuuuuuuu... A.H
Mbona unaandika kiFacebook mkuu? iPad3 kwenye mkono kwa raha zangu na Unlimited Net.[/QUOT
In ur dreamz...!!!!!!!! Ujikute tu?
Natamani Hakeem na Bolt watoke
Feza na oneal si waligombana kipind flan oneal ws jelous sku ya club feza alikua ana huk up na guys kwa sana sa elikem na pokello wakawa wana mpiga umbea yaan majungu tu si unajua km vile vitabia vya stata mzuka..
Hakeem na cleo kwanza mana bolt sio threat kwanza hajawahi na hatokosa nomination nahisi hata akirudi siera leone bado majirani wata mnominate tu jamaa ni less valuable kishenz pale betty alionekana of the same xter baada ya kua nae... To hell na mimba yao!