FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

Wanazalilishwa na nani. Wanafahamu kama runinga wanaonekana. Na wamesaini mkataba. Wewe kama hutaki huangalii. Hata watoto hawaruhusiwi. Ukiwaruhusu ni wewe ndio maana wanakuonyesha button ya kulock kama hutaki watoto waone.

Mwambie ...the show is rated 18...
 
Eti anasema kuna touching story bassey alimuambia kuhusu maisha yake....ila hakusema ni story gani

Yule nae mnaa... I usd to perceive her possesing strong personality tho nat my choice kumbe nae natasha tu anaejiita super woman then when nominated analia km mjane!
 
BBA! Haramu!! Mshiriki ambaye ameshinda yale mahela! Anashine hadi leo!!ni nani!!?!
 
Fezza ameanza unafiki na kulipa visasi, anasahau kwamba betty alichukiwa kwa sababu hyo....soon ataondoka mjengoni. Amemswap Pokello alafu anamjadili pamoja na annabel na fatima?? huyu demu mnafiki sana kumbe. Sincerely speaking naanza kumdis
 
sasa unamwambia nani ?
 
sasa unamwambia nani ?

Kinakuuma eehh, ukweli lazima usemwe....na hii ni post ya fezza na nando so lazima habari ya fezza isemwe hapa. Ningemtaja wema sepetu hapa kweli ningeonekana kichaa. Go screw urself to death kama kimekuuma
 
Hahahaaaa....nimeipenda hiyo....
 
Fezza ameanza unafiki na kulipa visasi, anasahau kwamba betty alichukiwa kwa sababu hyo....soon ataondoka mjengoni. Amemswap Pokello alafu anamjadili pamoja na annabel na fatima?? huyu demu mnafiki sana kumbe. Sincerely speaking naanza kumdis

Pokello anachukiwa na almost all housemates wa ruby....sioni kisasi coz its not like pokello alimfanyia hivyo then feza akalipiza...betty was a different case...alilipiza kabisa...
 
Hahahaha naona unadumisha mila kutetea wa kunyumba........
 
haujitambui wewe uwezo wako wa kufikiri inaonekana ni mdogo

Wewe wako ni mkubwa? heri hata mimi nina uwezo wa kufikiri lakini mdogo....wewe unatumia kichwa cha chini kufikiri..... yu know what?? get ya life byaaatch n leave me alone.....black bas.....t*&&**ard
 
may be you just forget to take your pill
 
hujielewi wewe you must also keep your puchuchu shut...unaonekana unakihelehele sana

"The only thing more frustrating than slanderers is to listen to the fools."
― Criss Jami
"Any fool can criticize, condemn and complain--and most do."
― Dale Carnegie
Kwa maneno hayo I berg to leave......kichaa akikunyang'anya nguo wakati unaoga hupaswi kumkimbiza coz unapomkimbiza watu wakiwaona njiani watasema tuliwaona vichaa vawili wakikimbizana.....kwa msingi huu nimeamua kukuacha kichaa original uendelee. Ukimaliza utatulia. Kama kweli akili za kuazima unazo (najua za kuzaliwa huna) nadhani utakuwa umenisoma.
 
Hahahah kuna nn hapa?mbona mwatupiana mituc kulikoni????
 
Back
Top Bottom