Fezza Kessy ajinadi live live

anajidai zawadi ya kudumu ni kujaliwa wowowo ilhali sioni lolote hapo!
au sababu sijala mboga za majani muda mrefu?
Mboga za majani [emoji1] [emoji1]
Hivi ndo uwaga vegitable?
Naomba kuuliza,kama mwanaume hana utimamu wa ...anaitwa kibamia,na mwanamke ambae hana utimamu wa chura ataitwaje?hilo jina Tumpe uyu fezzakessy nazani litamfaha vyema.
 
yeah mboga za majani ndio vegetables..

hahahahaha aisee halafu umenena kweli inabidi litafutwe hilo jina
 
Angalau Feza amejikubali.

Wanawake Wengine hua hawajikubali. Ili wajikubali ni mpaka waweke:-.

makalio ya bandia,
Kifua cha Bandia,
Kucha za bandia,
Nywele za marehemu za bandia,
Nyusi za bandia,
Rangi ya ngozi bandia,
Sauti ya wizi,
Mwendo wa kutembea wa kutingisha ta.ko bandia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…