Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Kawaida sana.Huyu hapa![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida sana.Huyu hapa![]()
Unampaisha hamna kitu hapo takolessKawaida sana.
Bado imo kichwani kutoka mjengoni BBAVichwa vingine havihimili mishindo ya bangi kabisa
Huyu hapa![]()
Mh yaani unamaanisha anafanya mapenzi ya jinsia moja kwamba ni msagaji??????Si ndio huyu alijitangaza kua ni lesbian au sio huyu?
Naona kama yupo confused hivi.
Hahahahaha...unamaliza siku yangu vizuri.yani nimesumbuka sana first nimeenda setings za display nimeongeza mwanga wa simu bado sijaliona hilo WOWOWOO
nikasema maybe ni haya macho yangu nikavaa mawani bado sinajaliona hilo WOWOWOO
nisaidieni jaman wenzangu ambao mmeliona hilo WOWOWOO kwenye hiyo picha mmetumia mbinu gani
Mh yaani unamaanisha anafanya mapenzi ya jinsia moja kwamba ni msagaji??????
[emoji3][emoji118]
Anastahili lakini...sishangai hongera @fezzakessyMkuu alisemea kwenye instagram kwake huko.Ilivuma kiasi fulani nadhani,sema watu hawakuitilia maanani sana...
Ni something kweli alisema!
Anapenda sana sanaa na umaarufu ila ndio hivyo vinamkataa sana.Ni kama yupo confused kidogo.
Kwani hao uliowataja wana akili sawasawa? Samahani lknWe na wewe huna tofauti nae mana hujielewi!
Sasa bangi imeingia vipi apo?
Bangi wamevuta wakina Bob Marley, Tosh, lucky Dube, Fidel Castro ,Guevarra na mpaka leo wamekufa na heshima zao duniani....
wewe mtu anapigika na ugumu wa maisha unasema bangi imesababisha?
Pumbavu kweli
Ni kujikubali kwa asilimia 100%Uku ni kujikubali nako
Sikuwa najua...ila unaweza ukajikubali for nothing ndo kama huyu bidada kujikubali si vibaya ila kavuka mipaka aisee
Alianzia mbali yuleBado imo kichwani kutoka mjengoni BBA
Nyota haing'arii...Mkuu alisemea kwenye instagram kwake huko.Ilivuma kiasi fulani nadhani,sema watu hawakuitilia maanani sana...
Ni something kweli alisema!
Anapenda sana sanaa na umaarufu ila ndio hivyo vinamkataa sana.Ni kama yupo confused kidogo.
Anastahili lakini...sishangai hongera @fezzakessy
Wee mbona una hasira sana au ni dadaake?We na wewe huna tofauti nae mana hujielewi!
Sasa bangi imeingia vipi apo?
Bangi wamevuta wakina Bob Marley, Tosh, lucky Dube, Fidel Castro ,Guevarra na mpaka leo wamekufa na heshima zao duniani....
wewe mtu anapigika na ugumu wa maisha unasema bangi imesababisha?
Pumbavu kweli
Punguza wivu utalionaanajidai zawadi ya kudumu ni kujaliwa wowowo ilhali sioni lolote hapo!
au sababu sijala mboga za majani muda mrefu?
Enzi za miaka yetu 2003-2006 tulikua tunawaita Sony Wega.Mboga za majani [emoji1] [emoji1]
Hivi ndo uwaga vegitable?
Naomba kuuliza,kama mwanaume hana utimamu wa ...anaitwa kibamia,na mwanamke ambae hana utimamu wa chura ataitwaje?hilo jina Tumpe uyu fezzakessy nazani litamfaha vyema.