Fezza Kessy ajinadi live live

Fezza Kessy ajinadi live live

Umeelewa nilichoandika ama umekurupuka??

Mimi nimeongelea huyo mjinga anayesema eti bangi imechangia kwa uyo demu kupagawa kumbe uyo ukute huko anapigika na ugumu wa maisha halafu mnakuja kusema eti bangi imechangia...

Sasa kusema ni dada angu imeingia vp apo....
nachosema ni hivi bangi sio sababu ya uwenda wazimu wa watu hapa nchini, ugumu wa maisha ndo kipimo cha wendawazimu!
Kama kichwa cha panzi bangi ina kubangua.
 
Seee!
Tunarudi kule kule, communication is broken down, you don't get me!
Don't u know anythin about 'logic reasoning'????

Yani unakuta mbulula ni limbukeni uko unakuja kusema herb imechangia??
Basi wakina Bob Marley, Fidel , Guevarra, Obama wangeongoza kua malimbukeni wakubwa......
Huyo dada anajulikana anakula mmea
Ndo maana nimeandika hivyo
Kama haujui story yake ....jioni njema.
 
Mmeyasikia fezzakessy anayo yasema uko insta kwamba yeye ni mzuri kuliko beyonce,beyonce kamzidi pesa na kuimba ila kwa uzuri ata subiri sana
Fezzakessy anadai yeye ni mzuri kuliko wanawake wote duniani,ajaona mwanamke mrembo na mzuri kuliko yeye,prianca chopra kidogo ndo walau atakaribia uzuri wa fezzakessy.
8634362cf730be09ed4f55e5a42fc3b1.jpg

Ninachofahamu ni kuwa kila mwanamke anatakiwa kujiamini kuwa yeye ni mzuri. Kisaikolojia ni muhimu sana. HIVYO FEZA YUKO RIGHT.
 
Umeelewa nilichoandika ama umekurupuka??

Mimi nimeongelea huyo mjinga anayesema eti bangi imechangia kwa uyo demu kupagawa kumbe uyo ukute huko anapigika na ugumu wa maisha halafu mnakuja kusema eti bangi imechangia...

Sasa kusema ni dada angu imeingia vp apo....
nachosema ni hivi bangi sio sababu ya uwenda wazimu wa watu hapa nchini, ugumu wa maisha ndo kipimo cha wendawazimu!
Ila yule phucker anakula bangi ukichangan ya na ugumu wa maisha mmh..sijui nini kinajili
 
Ishu hapa ni kua sio kila mwendawazimu kavuta bangi....

huyo mjinga ukute tatizo lake kubwa ni umri umeenda hajafanya cha maana, mara menopause ndo iyo inakaribia, huku kiki za muziki zinafeli, confusion tele, depression, stress, feeling rejected, uraibu wa viroba na pombe kali, hudhuni, mifadhaiko ya ugumu wa maisha, kukata tamaa, kutothaminika, na kudharaulika etc.....sasa kwa dizaini iyo ataacha kua mwehu kweli?? Hapana tena tushukuru amekua mwehu mana wenzake wa type yake huwa wanaishia kujiua....


Sasa mjinga mwengine anakuja kusema bangi izo bangi izo hao ndo wale mtu akiwa na macho mekundu ni anavuta bangi kumbe kuna kitu kinaitwa 'red eyes'...
Trust me bangi haiwezi kumfanya mtu akawa mbulula hata mara moja ukiona ivo ujue ni mbulula since birth so bangi imeboost umbulula wake tu!

View attachment 689270
View attachment 689272
View attachment 689273



















*sasa iyo picha ya chini apo..huyo mjinga anaeonyesha siku yake ya kwanza kuingia kwenye nyumba ya mke wake nae si mtasema bangi eeti???
Kumbe sababu sio bangi ni ulimbukeni na kupenda vya bure...jifunzeni kuwa na logic ktk reasoning zenu.....
Hahahhahaa uchebe kumbe na yeye ni manager wa herbs/hashishi
 
hivi kwanini watu wote wanaoenda BBA wakirudi huwa vichwani wanakuwa empty? kuna uchawi gani kule, hata wakikupatia milioni nyingi sana ukirudi unafilisika kuzidi hata kabla haujaenda....kuna agano na shetani gani kwenye zile hela za BBA? angalia mwisho, nando, idriss, feza, yule aliyoonyesha mbooooo hadharani aliitwa Richard sijui...nilimkutaga sehemu moja kaolewa na mzungu wa kike anajisikiaaa? shida tupu.
 
Mwacheni mchumba wangu fezza kessy ,wole wake mtu amseme vibaya ama zake ama zangu,
 
Mkuu upo sahihi %,,,yaani idrissa nashindwa kumuelewa kabisa wakitoka kule wawe wanapitia kwanza mirembe wakafanyiwe mental checkup..wasije kufanya vitu vya ajabu ajabu
cdd9025d42722907aa9d60f5f283b3f0.jpg
a450e44453daa898512917037acada33.jpg
85a9d7b5d610cfb7e2755ac1924e84b9.jpg
a39149cd9007adc63442d894c82440b6.jpg
198d081623756fe196e99f354c06562c.jpg
 
Mkuu upo sahihi %,,,yaani idrissa nashindwa kumuelewa kabisa wakitoka kule wawe wanapitia kwanza mirembe wakafanyiwe mental checkup..wasije kufanya vitu vya ajabu ajabu
cdd9025d42722907aa9d60f5f283b3f0.jpg
a450e44453daa898512917037acada33.jpg
85a9d7b5d610cfb7e2755ac1924e84b9.jpg
a39149cd9007adc63442d894c82440b6.jpg
198d081623756fe196e99f354c06562c.jpg
sasa hili jamaa nilielewe ni jinsia gani sasa? kwa mapigo kama hayo kwa umri wake huo, tuseme ni mwanaume au mwanamke? BBA inaharibu sana vijana.
 
Ni kujikubali kwa asilimia 100%

Unaita for nothing but kumbuka beuty is subjective. Kwa kiasi fulani kila mtu ana muono wake.

Hata hivyo Literaly Feza hawezi mfikia Beyonce
...lakini cha msingi haruhusu mtu yoyote am let down kwa maumbile yake alioumbiwa na Mungu.

Loving your self is the greatest love of all.
Duh... mngejua kuna watu tunashindia majani kupata huo mwili. Feza ana mwili mzuri sana.
 
We na wewe huna tofauti nae mana hujielewi!
Sasa bangi imeingia vipi apo?

Bangi wamevuta wakina Bob Marley, Tosh, lucky Dube, Fidel Castro ,Guevarra na mpaka leo wamekufa na heshima zao duniani....
wewe mtu anapigika na ugumu wa maisha unasema bangi imesababisha?

Freedom from Mental Slavery inahitajika aisee mnaishi enzi za ujima bado eti kila kitu kibaya mnasingizia bangi......

Okay bangi iko ivi ukiwa boya ukavuta na utazidi kua boya na ukiwa mjanja ukavuta unazidi kua mjanja. It's that simpo...so ukiona amevuta halafu kanya kajaza jua huyo ni kichwa panzi hata akinywa pombe ataishia kujamba jamba.

Pumbavu kweli
Hiyo paragraph ya mwisho hamjatofautiana mawazo na Don Clericuzio aliposema kunuia nadhani hujamwelewa, enzi za wahenga bangi ulikuwa unanuia...kwa hiyo Don Clericuzio amehisi "labda alinuia aonekane mrembo" ni sawa na wewe ulivyosema ukiwa mjanja unazidi kuwa mjanjahttps://www.jamiiforums.com/members/don-clericuzio.467482/
 
Hiyo paragraph ya mwisho hamjatofautiana mawazo na Don Clericuzio aliposema kunuia nadhani hujamwelewa, enzi za wahenga bangi ulikuwa unanuia...kwa hiyo Don Clericuzio amehisi "labda alinuia aonekane mrembo" ni sawa na wewe ulivyosema ukiwa mjanja unazidi kuwa mjanja

Halafu mkuu usisahau kwamba unaweza kuvuta ikaufanya chizi halafu ukawa unawaona wenzio ndo machizi, nilihisi tu jamaa itakuwa tayari naye.

Jamaa kashindwa hata kusoma mstari kwa mstari nini nilichomaanisha, ikabidi nimwombe tu samahani.
 
Back
Top Bottom