Ishu hapa ni kua sio kila mwendawazimu kavuta bangi....
huyo mjinga ukute tatizo lake kubwa ni umri umeenda hajafanya cha maana, mara menopause ndo iyo inakaribia, huku kiki za muziki zinafeli, confusion tele, depression, stress, feeling rejected, uraibu wa viroba na pombe kali, hudhuni, mifadhaiko ya ugumu wa maisha, kukata tamaa, kutothaminika, na kudharaulika etc.....sasa kwa dizaini iyo ataacha kua mwehu kweli?? Hapana tena tushukuru amekua mwehu mana wenzake wa type yake huwa wanaishia kujiua....
Sasa mjinga mwengine anakuja kusema bangi izo bangi izo hao ndo wale mtu akiwa na macho mekundu ni anavuta bangi kumbe kuna kitu kinaitwa 'red eyes'...
Trust me bangi haiwezi kumfanya mtu akawa mbulula hata mara moja ukiona ivo ujue ni mbulula since birth so bangi imeboost umbulula wake tu!
View attachment 689270
View attachment 689272
View attachment 689273
*sasa iyo picha ya chini apo..huyo mjinga anaeonyesha siku yake ya kwanza kuingia kwenye nyumba ya mke wake nae si mtasema bangi eeti???
Kumbe sababu sio bangi ni ulimbukeni na kupenda vya bure...jifunzeni kuwa na logic ktk reasoning zenu.....