Fezza Kessy ajinadi live live

Halafu mkuu usisahau kwamba unaweza kuvuta ikaufanya chizi halafu ukawa unawaona wenzio ndo machizi, nilihisi tu jamaa itakuwa tayari naye.

Jamaa kashindwa hata kusoma mstari kwa mstari nini nilichomaanisha, ikabidi nimwombe tu samahani.
Huyu atakuwa mtu wa mara
 
Asituchoshe hapa!!,mzuri Yesu aliye umba hao wabaya anao waona
 
Huyo dada anajulikana anakula mmea
Ndo maana nimeandika hivyo
Kama haujui story yake ....jioni njema.
Mmea walikula wakina Bob Marley ndo wanatoa conscious za maana...huyo mpumbavu ni stress za menopause zinachangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…