Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

Mkuu, Je, ukiwa umeselect "incognito device" ktk "UC MIN BROWSER" Hautakuwa salama wakati ukivinjari kwa kutumia UC BROWSER?
Je, Taarifa zako zinaonekana wakati unatumia "Incognito Device"?
 
Hahahahahahaha siwezi kuwachoma ndugu zangu bwana. Mimi nimetumia sana Tunnel Bear kwa ajili ya kupakua vitabu ambavyo watu waliopo Marekani ndiyo wangeweza kupakua.
Mkuu, Naomba unitajie vitabu vya IT vinavyopatikana USA ili niongeze maarifa.
 
Mkuu, Je, ukiwa umeselect "incognito device" ktk "UC MIN BROWSER" Hautakuwa salama wakati ukivinjari kwa kutumia UC BROWSER?
Je, Taarifa zako zinaonekana wakati unatumia "Incognito Device"?
Incognito au Private Mode katika browser yoyote kazi yake ni kutohifadhi historia au files zozote za hiyo session kwenye kifaa chako i.e ukitumia incognito kisha ukafunga browser hakutakuwa na hisyory, wala cookies zozote zimebaki katika kifaa chako, so hii ni local feature tu. Ndo maana inaitwaga Porn Mode kiutani kwa vile inafuta historia ya porn site ulizotembea, ni sawa na kufuta history.

Haibadilishi kitu chochote kuhusu connection yako hiyo inabaki kama nilivyoelezea hapo juu.
 
Wataalamu wa mambo ya VPN ninaomba kufahamu VPN zipi ni free kwa matumizi ya Simu naweza kuipakuwa na isiwe na malipo.
 
Wana JF naomba kujuzwa kazi ya VPN na kirefu chake na jinsi ya kuiset hususani kwenye simu.
 
nawasubiri
mtandao wa kibinafsi wa kibinafsi (VPN) unapanua mtandao wa kibinafsi kwenye mtandao wa umma, na huwezesha watumiaji kutuma na kupokea data kwenye mitandao ya pamoja au ya umma kana kwamba vifaa vya kompyuta viliunganishwa moja kwa moja kwenye mtandao wa kibinafsi. programu zinazoendesha kwenye kifaa cha kompyuta, n.k. mbali, eneo-kazi, kompyuta ndogo, kwa VPN kwa hivyo inaweza kufaidika na utendaji, usalama, na usimamizi wa mtandao wa kibinafsi. Usimbuaji ni jambo la kawaida, ingawa sio asili, sehemu ya unganisho la VPN. [1]

Teknolojia ya vPN ilitengenezwa ili kuruhusu watumiaji wa mbali na ofisi za tawi kupata matumizi ya rasilimali na rasilimali. ili kuhakikisha usalama, unganisho la mtandao wa kibinafsi limeanzishwa kwa kutumia itifaki ya kushughulikia iliyowekwa kwa nambari, na watumiaji wa VPN hutumia njia za uthibitishaji, pamoja na nywila au cheti, kupata ufikiaji wa VPN. katika programu zingine, Watumiaji wa mtandao wanaweza kupata unganisho wao na VPN ili kuzuia vizuizi na udhibiti wa geo au kuunganishwa na seva za wakala ili kulinda kitambulisho cha kibinafsi na eneo ili kubaki bila kujulikana kwenye mtandao. tovuti zingine, hata hivyo, kuzuia ufikiaji wa teknolojia inayojulikana ya VPN kuzuia kuzunguka kwa vizuizi vyao, na watoa huduma wengi wa VPN wamekuwa wakitoa mikakati ya kuzunguka vizuizi hivi.

VPN imeundwa kwa kuanzisha unganisho wa hatua kwa hatua kwa njia ya utumiaji wa mizunguko iliyojitolea au na itifaki ya kushughulikia mitandaoni iliyopo. VPN inayopatikana kutoka kwa mtandao wa umma inaweza kutoa faida kadhaa za mtandao wa eneo pana (WAN). kwa mtazamo wa watumiaji, rasilimali zinazopatikana ndani ya mtandao wa kibinafsi zinaweza kupatikana kwa mbali.
 
Mkuu nikitaka kujua IP Adress yangu inakuaje..??
kwenye computer fungua command prompt andika ipconfig utaona ip address yako. mara nyingi uwa dynamic hivyo ubadirika. labda wafanye static ip configuration hapo hazitabarika

kitochi
 
Back
Top Bottom