Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Master ni mtumiaji mzuri wa mmea mzuri tu. Alikiri mwenyewe kwenye interviewHao wooote unaosema wana uwezo wa kujieleza ni watumiaji wa mmea pendwa, kasoro Master J(just maybe)….. unataka kusemaje hapo?
Master ni mtumiaji mzuri wa mmea mzuri tu. Alikiri mwenyewe kwenye interview
Kwema Wakuu
Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri.
Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka muda mrefu.
Jambo moja ambalo watu wengi wasilolijua ni kuwa Kuongea pia ni Ujuzi, kipaji na akili Kama vilivyo vipaji vingine.
Wapo watu wengi wenye heshima na wengine ni viongozi wakubwa lakini pindi wakipewa nafasi yakuongea unaweza kuziba masikio Kwa aibu utakayoisikia kutoka kwao.
kuongea lazima uzingatie mambo makuu Yafuatayo;
1. Utulivu wa Akili
2. Kupanda na kushuka Kwa sauti yako pindi unaongea.
3. Body language( mijongeo ya Mwili na Uso wakati unawasilisha habari yako)
4. Mood ya wanaokusikiliza.
5. Uwe na Content ya kutosha na uwezo wa kuunganisha matukio na visa
6. Umahiri wa kuwasilisha Content
7. Uwezo wa kutetea hoja ulizowasilisha.
Hapa lazima uwe competent kwenye eneo husika, ili utoe mifano na reference za kutosha. Sio utoe hoja za kitoto na kuongozwa na hisia.
Miongoni mwa mambo mengine.
Sio kila mtu anafaa kupewa maiki na kuzungumza. Wengine uwezo wa Kueleza Jambo Kwa dakika tano au kumi hawawezi. Zaidi ya yote watatia aibu na heshima Yao itashuka.
Hivyo ndio maana watu wenye akili zao huwa na Wasemaji wao ambao kazi Yao ni Kutoa ufafanuzi, kujibu hoja na Kueleza mambo.
Maboss wengi na watu wenye heshima wanaojifahamu sio waongeaji wazuri, huajiri wasemaji ambao wanalingana na heshima yao.
Ninaposema uongeaji simanishi uongeaji Kama wa kina Baba levo, au wabwabwaji wa Aina yake.
Nazungumzia watu wenye Uelewa mpana wa mambo, wenye exposure ya Dunia imetoka wapi, ipo wapi na inaenda wapi.
Fid Q mtamlaumu bure tuu lakini kimsingi ukimsikiliza hana uwezo wa kuzungumza vitu vya msingi Kwa namna ya kulinda jina lake na kipaji chake, ataongea chini ya kiwango ukilinganisha na jina lake.
Kwa Wasanii wa Muziki ambao wanauwezo wa kujieleza na kuchambua mambo niliowahi kuwasikiliza ni Kama ifuatavyo;
1. Chid Benz.
Huyu Braza licha ya watu kumkadiria chini ya kiwango lakini akizungumza anaongea Logic ingawaje kuna muda Kama lugha ya kitaa inamuathiri lakini mara nyingi amekuwa akiongea vizuri kulingana na atakavyoulizwa.
2. Diamond Platnumz
Katika watu ambao wanauwezo wa kujieleza na kufafanua Jambo ni Diamond. Diamond ana akili za kuongea mbele ya Kamera. Hapanikishwi na maneno ya muuliza maswali au Aina ya maswali. Anautulivu na anauwezo WA kueleza mambo hasa kuhusu Taaluma yake.
3. Afande Sele.
Huyu ni Kama Baba. Pamoja na madhaifu mengine aliyonayo lakini Afande sele ni moja ya Wasanii wanaoweza kufafanua Jambo likaeleweka.
Ingawaje kuna wakati mapenzi yake Kwa JPM yaliathiri uwezo wake wa kuzungumza kiasi kwamba akawa anajikuta akisifia tuu muda wote hata pasipo na hoja.
4. P Funk Majani.
Moja wa Maproducer ambao wanauwezo wa kuongelea Jambo likaeleweka.
Ingawaje anahasira Kama utamuuliza maswali ya kipuuzi.
5. Master Jay
6. Ney WA mitego
Huyu mwamba kinachombeba mpaka awe kwenye kundi hili ni Kupenda kuongea ukweli Kwa Asilimia kubwa. Si unajua ukweli sikuzote ni Fact(ndio hoja zenyewe)
Ney anauwezo WA kufafanua mambo yaliyo ndani ya uwezo wake, Fani yake.
Tofauti na baadhi ya Wasanii wengine.
Fid Q na wengine watu wenye majina Kama yeye lazima waelewe kuwa Sio kila mtu anaweza kuwa msemaji Kama vile sio kila mtu anaweza kuimba Kama wao wanavyoimba.
Ili kulinda heshima ni lazima watu wajitambue. Wanasema ni hekima kukaa kimya kuliko kuropoka ropoka.
Hoja za Fid Q kumpendekeza Steve Nyerere hazikupaswa kutolewa na mtu mwenye Jina Kama yeye na umri Kama alionao.
Hoja zile zilipaswa kutolewa na kijana wa miaka chini ya ishirini hivi.
Mtu kuhamasisha michango ya Harusi haimaanishi ndio awe msemaji wa Wasanii wa muziki wakati Hana uzoefu wowote na taaluma hiyo.
Ni Sawa na kipindi kile mwijaku alivyokuwa anataka kuwa msemaji wa Simba kisa anajua kuongea. Ilhali hana Ujuzi wowote wa kiwango cha kuridhisha kuhusu mambo ya mpira.
Steve Nyerere ni mzuri kwenye baadhi ya mambo, kuhamasisha na kuratibu mambo ya kijamii Kama vile matukio ya Misiba hiyo kazi anaimudu.
Fid Q asilaumiwe bali kwake iwe Kama changamoto ya kuweza kujifunza kuwa sio kila mtu anaweza kuwa msemaji au anakipaji cha kuzungumza hasa kwenye ishu za kitaaluma.
Taikon wa Fasihi
Ubungo Kibangu.
Pia soma: Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania
hapo kwa Chid benz umeula wa chuyaKwema Wakuu

Kama kweli hiyo «verbal intelligence» ipo, basi itakuwa ni sifa/tabia ya kike aka sifa ya Wasichana na Wanawake, maana wao ndiyo wanawahi kuongea lugha utotoni, na hata ukubwani huwezi kushindana nao kwa mdomo. Mfani ni Dokta Kumbuka na mashoga wengineo wengi redioni ambao wameajiriwa sababu ya wepesi wa midomo yao. Akili zao zipo midomoni.
Mtu anayetumia bangi huwa yuko makini na anaongea vitu vinavyo eleweka . Huwez mlinganisha na mlevi .Hao wooote unaosema wana uwezo wa kujieleza ni watumiaji wa mmea pendwa, unataka kusemaje hapo?
Mwana FA simuoni kwenye list yako!Kwema Wakuu

Hii list yako ni coincidence au ina uhusiano na utumiaji wa mmea?
Si tuliambiwa huyo jamaa ni intelligent!?.