Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
hivi dogo harmorapa yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio walinzi. Mavazi ndicho nimesemea. Vaa vazi kuendana na tukio. Unavaa hereni msibani kama unaenda kupiga show kweliUlitaka aendeje? Kwani kwenda na walinzi ni kosa?
Hahahaa....... Kiba vs kibamia!mleta mada.
kama haiandikwi basi usimlazimishe mtu kuamini unachoaamoniMaadili kwa kiasi kikubwa ni unwritten rules..
Nikuulize wewe , unaweza kumpiga denda Dada yako /Mama yako ?kama huwezi imeandikwa wapi ni marufuku kumpiga denda Dada yako/mama yako ?
Mpishihivi dogo harmorapa yuko wapi?
kama haiandikwi basi usimlazimishe mtu kuamini unachoaamoni
Mungu akikutaka utasepa tu kina PAC wamesepa na walikuwa na walinz. Co kitu kibaya kuwa na walinz lkn hata iweje pale mtu mwenye akil zake lazima angesepa coz jamaa ameingia na mabodyguard mixer waandish mixer wananch kushoboka na kufuata attention ya tukio la harmonize kuingia só kiustarabu ni kumwacha aendelee na tukio ukizingatia walikuwa washazika só hakukuwa na chá kusubiria paleKwani kuna shida gani msanii akienda na walinzi wake msibani? Lazima tukubali msanii akiwa mkubwa kuna vitu havikwepeki kamwe Harmonize hawezi kuishi kama wewe! Unasema who is Harmonize kutoka moyoni au kwakuwa uko kufurahisha? Hivi unajua hata Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine yasingelimpata hayo?
He is kidding! Hahahaaa.....Mr Nice bila bifu na Dudu Baya asingefanyaje? Nigga you gotta be kidding!
Sheta ndo umlinganishe na harmonize pamoja na hivyo vizeee,come on guy are you kidding?Sema hawa dabiliusibii nao wanapenda sana 'attention', kaja na hao mabodigadi utafikiri labda kuna tishio fulani dhidi ya uhai wake, mbwembwe nyiiingi, watu wapo msibani unakuja na show-off za kishamba, who is Harmonize by the way? Haoni wenzake akina Shetta wapo bize kuhudumia waombolezaje, kawapita moguls Kiba na Fid hapo kama hawaoni, kesho hawahawa ndo unasikia anaumwa sana anahitaji watu wamchangie! Tujifunze kuishi maisha ya kawaida na kuachana na kiki misibani! Shwain!
mkuu jaribu kua logical kidogo, unadhani jamaa walichofanya ni kitu cha kiungwana!? Kwenye video nimeona konde boy kama anatoa ishara ya kumsalimia Fid Q lakini limevimba linazuga halioni kitu... ujinga sana ndio mana hafanikiwi kwenye music wake pumbaf zakeUmeandika Ujinga.
Nyinyi ndio mnampoteza huyo jamaa anazidi kushuka tu,Nampenda Ali Kiba bure na lazima kimoyo moyo alisema mtafuta kiki huyo kaja acha sasa niwaonyeshe mwenye kukiki zaidi nani................... Yeye muda wa kuondoka ulifika hivyo akasepa zake..... big up Ali Kiba achana na hao la saba B
Nyinyi ndio mnampoteza huyo jamaa anazidi kushuka tu,
Vp mzee wa mitoleHisia zake tu, huyu mtu Ali Kiba anamuumaga roho sijui anatamani yeye ndio angekuwa Kiba[emoji134][emoji134][emoji134]
Asa kikuku cha mama Rhoda nao ulikua mziki? Au basi tu na sisi tulikosa mziki[emoji1787]Mr Nice bila bifu na Dudu Baya asingefanyaje? Nigga you gotta be kidding!