Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

Maadili kwa kiasi kikubwa ni unwritten rules..

Nikuulize wewe , unaweza kumpiga denda Dada yako /Mama yako ?kama huwezi imeandikwa wapi ni marufuku kumpiga denda Dada yako/mama yako ?
kama haiandikwi basi usimlazimishe mtu kuamini unachoaamoni
 
Kwani kuna shida gani msanii akienda na walinzi wake msibani? Lazima tukubali msanii akiwa mkubwa kuna vitu havikwepeki kamwe Harmonize hawezi kuishi kama wewe! Unasema who is Harmonize kutoka moyoni au kwakuwa uko kufurahisha? Hivi unajua hata Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine yasingelimpata hayo?
Mungu akikutaka utasepa tu kina PAC wamesepa na walikuwa na walinz. Co kitu kibaya kuwa na walinz lkn hata iweje pale mtu mwenye akil zake lazima angesepa coz jamaa ameingia na mabodyguard mixer waandish mixer wananch kushoboka na kufuata attention ya tukio la harmonize kuingia só kiustarabu ni kumwacha aendelee na tukio ukizingatia walikuwa washazika só hakukuwa na chá kusubiria pale
 
Sema hawa dabiliusibii nao wanapenda sana 'attention', kaja na hao mabodigadi utafikiri labda kuna tishio fulani dhidi ya uhai wake, mbwembwe nyiiingi, watu wapo msibani unakuja na show-off za kishamba, who is Harmonize by the way? Haoni wenzake akina Shetta wapo bize kuhudumia waombolezaje, kawapita moguls Kiba na Fid hapo kama hawaoni, kesho hawahawa ndo unasikia anaumwa sana anahitaji watu wamchangie! Tujifunze kuishi maisha ya kawaida na kuachana na kiki misibani! Shwain!
Sheta ndo umlinganishe na harmonize pamoja na hivyo vizeee,come on guy are you kidding?
 
Umeandika Ujinga.
mkuu jaribu kua logical kidogo, unadhani jamaa walichofanya ni kitu cha kiungwana!? Kwenye video nimeona konde boy kama anatoa ishara ya kumsalimia Fid Q lakini limevimba linazuga halioni kitu... ujinga sana ndio mana hafanikiwi kwenye music wake pumbaf zake
 
Hii ni ishara nzuri Harmonize aendelee kubaki WcB... Vinginevyo nae atakua kama hao losers
 
Nampenda Ali Kiba bure na lazima kimoyo moyo alisema mtafuta kiki huyo kaja acha sasa niwaonyeshe mwenye kukiki zaidi nani................... Yeye muda wa kuondoka ulifika hivyo akasepa zake..... big up Ali Kiba achana na hao la saba B
 
Nampenda Ali Kiba bure na lazima kimoyo moyo alisema mtafuta kiki huyo kaja acha sasa niwaonyeshe mwenye kukiki zaidi nani................... Yeye muda wa kuondoka ulifika hivyo akasepa zake..... big up Ali Kiba achana na hao la saba B
Nyinyi ndio mnampoteza huyo jamaa anazidi kushuka tu,
 
Msibani kuna watu na ratiba zao, je km uyo mmakonde kafika kina kiba wakiwa na ratiba ya kuondoka mahali walikuwa wamekaa inamaana ilibidi wasubiri harmonize awasalimie ndo wasimame?
 
Aiseee nimemshangaaa Fid q,Kwa Ali kiba nilitegemea hilo.
 
Back
Top Bottom