Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Hahahahahahahahaha na kwann mama Mondi adhalilike kwa kutoka na Ommy wakati alikua anapewa ile kitu roho, akili, mwili vyote inapenda.....
Lol nipo upande wa Ommy.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oyoooooooooooooooo
nipo upande wa Ommy.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
maza nae mcharuko yule!acha atukanwe tu nyoko yake!mbona wamama wengine hawana kiherehere km yeye wametuliaaa km mamaake kiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Mkongwe katika sanaa ya bongo flava miondoko ya HIP HOP bwana fareed kubanda amemlaum sana ommy dimpoz kwa kitendo alicho fanya ...ambapo ameelezea kisa kizima cha hadi Diamond kutaka Collabo

FIDQ kasema kwa sasa haupendi wimbo huo kabisa na kuonesha kuwa anampango wa kuwakutanisha alikiba na Diamond ili aweze kujaribu kuwa patanisha



Mtazame hapa akitoa story nzima






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aache porojo fid mnafiki sana
 
Kweli kabisa huyu Rasta mvuta bangi alisema cha maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah exactly , HV unahis mama ommy alijiskiaje mwanae kuitwa shoga mm binafsi sijaona kosa la ommy , so now they are even

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuamini kuwa ma great thinker wamepungua humu jf na km wamebak bas wengi wao hawana bando la kutosha.... Fid kaongea vizuri tu kuwa hakuelewa ule mstari uliotaja Cinderella kama wengi walivyo elewa ila humu jf badobwatu povu linawatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…