Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hahahahahahahahaha na kwann mama Mondi adhalilike kwa kutoka na Ommy wakati alikua anapewa ile kitu roho, akili, mwili vyote inapenda.....ugumu wa maisha usikufanye umchukie ommy!! aliyedhalilishwa ni mama mondi peke yake, eti wamedhalilishwa wamama wote weeee mi bi mkubwa wangu hajadhalilishwa wala nini saa hiz yupo home anakula maboga kwa raha zake hana na hajui kama kuna hizo people zina exist... bi mdashi wangu hawez kudhalilika kisa ommy aliwahi kutembea na mama mondi! Eti mwanamke mmoja akidhalilishwa ndio wamedhalilishwa wanawake wote, acha kukuza mambo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol nipo upande wa Ommy.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.