Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

ugumu wa maisha usikufanye umchukie ommy!! aliyedhalilishwa ni mama mondi peke yake, eti wamedhalilishwa wamama wote weeee mi bi mkubwa wangu hajadhalilishwa wala nini saa hiz yupo home anakula maboga kwa raha zake hana na hajui kama kuna hizo people zina exist... bi mdashi wangu hawez kudhalilika kisa ommy aliwahi kutembea na mama mondi! Eti mwanamke mmoja akidhalilishwa ndio wamedhalilishwa wanawake wote, acha kukuza mambo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahaha na kwann mama Mondi adhalilike kwa kutoka na Ommy wakati alikua anapewa ile kitu roho, akili, mwili vyote inapenda.....
Lol nipo upande wa Ommy.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Tutajuaje?Kama kweli alimmega?Maana huyo mama nasikia kwa dogo dogo hatari!
Nways,mimi ukinitusi ukaniita shoga,walahi hata hapo Ommy hajapanic aiseee!Ningemshambulia with everything i hv got!Kuna mambo mengine si kutania,shoga?????Halafu hii sio mara ya kwanza,kuna siku redioni diamond alisikika akisema "Dimpoz anamchukia kisa alikataa kumpulia kisogoni", Ommy akatoa onyo,akamwambia sio vizuri,unaweza ukanitukana hivyo halafu ukashangaa kesho natoka na taulo kwenye chumba cha Bi sandra!!!!Domo naona hakusikia,karudia tena!Acha apewe vinavyoweza kumuuma,halafu sijui Ommy hajapata video ya Zari akijichokonoa na dildo,maana ningekuwa mimi ningeipost!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oyoooooooooooooooo
nipo upande wa Ommy.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
maza nae mcharuko yule!acha atukanwe tu nyoko yake!mbona wamama wengine hawana kiherehere km yeye wametuliaaa km mamaake kiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 




Mkongwe katika sanaa ya bongo flava miondoko ya HIP HOP bwana fareed kubanda amemlaum sana ommy dimpoz kwa kitendo alicho fanya ...ambapo ameelezea kisa kizima cha hadi Diamond kutaka Collabo

FIDQ kasema kwa sasa haupendi wimbo huo kabisa na kuonesha kuwa anampango wa kuwakutanisha alikiba na Diamond ili aweze kujaribu kuwa patanisha



Mtazame hapa akitoa story nzima







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh
Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika maneno ya kumdhalilisha
kitu ambacho fid Q hakutegemea kufika huko kwa kuwa muziki ni burudani na msanii kumdiss mwingine kupitia muziki kunachangamsha game ila sio kutukana wazazi


Aache porojo fid mnafiki sana
 
mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.

wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.

by Afande sele Mtazamo
Kweli kabisa huyu Rasta mvuta bangi alisema cha maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo nasema mpuuz kwa sasa kwanin alishindwa kumshaur mond ishu ya kumtukana mwenzie kwa dis song yake ile huwez kuita mwenzio shoga afu utalajie akujibu kistarabu ommy kafanya sahihi tu .(kumbuka hata mama wa ommy kadhalilishwa kwa mwanaye kuitwa shoga)
Yeah exactly , HV unahis mama ommy alijiskiaje mwanae kuitwa shoga mm binafsi sijaona kosa la ommy , so now they are even

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuamini kuwa ma great thinker wamepungua humu jf na km wamebak bas wengi wao hawana bando la kutosha.... Fid kaongea vizuri tu kuwa hakuelewa ule mstari uliotaja Cinderella kama wengi walivyo elewa ila humu jf badobwatu povu linawatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom