Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Nyie mashabiki wenye akili mbovu ndo Mnamtia mwenzenu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuelewa wapi, alielewa huyo bas tu anajitia upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wimbo unaitwaje mzee mwenzangu?
 
Kwani mama ake Ommy hajadhalilishwa kwa kuambiwa kazaa Shoga??? sasa Mond kakomaa kumuita mwenzake shoga kisa tu hajawahi kumtambulisha shemeji yake kumbe huyo shemeji yake ni mama ake hahahahahahahaha oyooooooooooooooooooo wanasemaga Mbwa kala Mbwa.


Nipo upande wa Ommy.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Na yy anajipendekeza kwa Mondi tu na mirasi yake hiyo michafu!!

JPM KAMATA WEZI
 
Kwa hiyo ww nikikuita shoga tyari ushakuwa shoga. Kiba alidisiwa akaitwa cinderella lakin akajibu kiume zaidi akamuita domo ni malkia wa nguvu na vitu ka izo so kuitwa domo malkia so tyari ashakuwa malkia mbona kiba hakukimbilia kwa wazaz alimjibu muhusika. Ushabiki unapelekea watu tunakuwa blind sana. Kudisiana kwenye mziki ni kitu cha kawaida haijaanza leo labda kama ww ni mgeni kwny sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumegwa siyo kesi unaweza kuta hata bibi mdash wako anamegeka tu kitaani na wana, wengne wadogo zaidi yako. Kesi iliyopo ni domo kamdis ommy, so ommy angedili na domo personally maswala ya kumuhusisha bi mdashi hayakuwa na mantiki kama kamla bi mkubwa wanajuana wenyewe mm hainihusu swala ni kwa nn umuhisishw mtu ambaye hahusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…