me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mashabiki wenye akili mbovu ndo Mnamtia mwenzenu ujingaSiku domo akimjibu ommy kuhusu mzazi wake tena nasikia ni marehem msije hapa na excuse kibao maana naona mnashangilia ujinga msione domo kanyamaza ukafiri kashindwa kujibu. Mm nikutanie ww afu uingize wazaz akhi ya nani sikuachi iviivi lazima damu imwagike
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuelewa wapi, alielewa huyo bas tu anajitia upuuziNaanza kuamini kuwa ma great thinker wamepungua humu jf na km wamebak bas wengi wao hawana bando la kutosha.... Fid kaongea vizuri tu kuwa hakuelewa ule mstari uliotaja Cinderella kama wengi walivyo elewa ila humu jf badobwatu povu linawatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ngoja niitafute me & you nimuimbie kipenzi changu cha rohoWe unazifuta ss ndo kwanza tunazidowload .. Mtakufa nacho kijiba chenu cha roho familia nzma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji23] [emoji2] Hawa vibaraka wa domo wana Kazi sanaTena ngoja niitafute me & you nimuimbie kipenzi changu cha roho
Ukisikiliza verse ya Mond imetolewa kwa hali ya kisanaa kiasi kwamba kwa sie wahenga tunaosikiliza radio bila kufuatilia vitu kwa undani huwezi hisi chochote...sasa Ommy Dimpo amekuja live bila chenga kabisa ambapo kisheria ni kosa.
Huyo kachemka saanaHivi kuna Tusi kubwa Kwa mwanaume zaidi ya kumwita shoga?
Embu wanaume nisaidieni, how it feels kuitwa shoga na kubanduliwa mama yako bora nini?
invest what you are willing to lose
Tena ngoja niitafute me & you nimuimbie kipenzi changu cha roho
Mimi tu ukiniita msagaji sikuelewi aysee
Huu wimbo unaitwaje mzee mwenzangu?mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.
wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.
by Afande sele Mtazamo
Yaani nakuambia fid anapaswa kujifikiria upande aliouegemea na dai asichukie kaanzisha mwenyeweMimi tu ukiniita msagaji sikuelewi aysee
invest what you are willing to lose
Au anajua Kwa dai ndo mpango mzima, kuna ulaji pale ndo maana kaegemeaYaani nakuambia fid anapaswa kujifikiria upande aliouegemea na dai asichukie kaanzisha mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ww nikikuita shoga tyari ushakuwa shoga. Kiba alidisiwa akaitwa cinderella lakin akajibu kiume zaidi akamuita domo ni malkia wa nguvu na vitu ka izo so kuitwa domo malkia so tyari ashakuwa malkia mbona kiba hakukimbilia kwa wazaz alimjibu muhusika. Ushabiki unapelekea watu tunakuwa blind sana. Kudisiana kwenye mziki ni kitu cha kawaida haijaanza leo labda kama ww ni mgeni kwny sanaa.Hivi kama ni mwanume rijali hala mtu anakuita shoga kila mara wewe utajisikiaje inamaana hizo diss za mziki je mzazi wa omy yeye atajisikiaje mtoto wake kuitwa hivyo lazima tuangalie pande zote maana ommy nae anafamilia nayo pia inaumia vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumegwa siyo kesi unaweza kuta hata bibi mdash wako anamegeka tu kitaani na wana, wengne wadogo zaidi yako. Kesi iliyopo ni domo kamdis ommy, so ommy angedili na domo personally maswala ya kumuhusisha bi mdashi hayakuwa na mantiki kama kamla bi mkubwa wanajuana wenyewe mm hainihusu swala ni kwa nn umuhisishw mtu ambaye hahusiki.Tutajuaje?Kama kweli alimmega?Maana huyo mama nasikia kwa dogo dogo hatari!
Nways,mimi ukinitusi ukaniita shoga,walahi hata hapo Ommy hajapanic aiseee!Ningemshambulia with everything i hv got!Kuna mambo mengine si kutania,shoga?????Halafu hii sio mara ya kwanza,kuna siku redioni diamond alisikika akisema "Dimpoz anamchukia kisa alikataa kumpulia kisogoni", Ommy akatoa onyo,akamwambia sio vizuri,unaweza ukanitukana hivyo halafu ukashangaa kesho natoka na taulo kwenye chumba cha Bi sandra!!!!Domo naona hakusikia,karudia tena!Acha apewe vinavyoweza kumuuma,halafu sijui Ommy hajapata video ya Zari akijichokonoa na dildo,maana ningekuwa mimi ningeipost!
Siyo jambo geniOmmy kashasema akirudia tena atatuonyesha kitumbua cha bi sadra kwa hio mond akili kwenye kichwa na nyie mashabiki wake ikifikia huko msije kutia huruma tena
Sent using Jamii Forums mobile app