Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Siku domo akimjibu ommy kuhusu mzazi wake tena nasikia ni marehem msije hapa na excuse kibao maana naona mnashangilia ujinga msione domo kanyamaza ukafiri kashindwa kujibu. Mm nikutanie ww afu uingize wazaz akhi ya nani sikuachi iviivi lazima damu imwagike

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mashabiki wenye akili mbovu ndo Mnamtia mwenzenu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuamini kuwa ma great thinker wamepungua humu jf na km wamebak bas wengi wao hawana bando la kutosha.... Fid kaongea vizuri tu kuwa hakuelewa ule mstari uliotaja Cinderella kama wengi walivyo elewa ila humu jf badobwatu povu linawatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuelewa wapi, alielewa huyo bas tu anajitia upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.

wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.

by Afande sele Mtazamo
Huu wimbo unaitwaje mzee mwenzangu?
 
Kwani mama ake Ommy hajadhalilishwa kwa kuambiwa kazaa Shoga??? sasa Mond kakomaa kumuita mwenzake shoga kisa tu hajawahi kumtambulisha shemeji yake kumbe huyo shemeji yake ni mama ake hahahahahahahaha oyooooooooooooooooooo wanasemaga Mbwa kala Mbwa.


Nipo upande wa Ommy.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Na yy anajipendekeza kwa Mondi tu na mirasi yake hiyo michafu!!

JPM KAMATA WEZI
 
Hivi kama ni mwanume rijali hala mtu anakuita shoga kila mara wewe utajisikiaje inamaana hizo diss za mziki je mzazi wa omy yeye atajisikiaje mtoto wake kuitwa hivyo lazima tuangalie pande zote maana ommy nae anafamilia nayo pia inaumia vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ww nikikuita shoga tyari ushakuwa shoga. Kiba alidisiwa akaitwa cinderella lakin akajibu kiume zaidi akamuita domo ni malkia wa nguvu na vitu ka izo so kuitwa domo malkia so tyari ashakuwa malkia mbona kiba hakukimbilia kwa wazaz alimjibu muhusika. Ushabiki unapelekea watu tunakuwa blind sana. Kudisiana kwenye mziki ni kitu cha kawaida haijaanza leo labda kama ww ni mgeni kwny sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutajuaje?Kama kweli alimmega?Maana huyo mama nasikia kwa dogo dogo hatari!
Nways,mimi ukinitusi ukaniita shoga,walahi hata hapo Ommy hajapanic aiseee!Ningemshambulia with everything i hv got!Kuna mambo mengine si kutania,shoga?????Halafu hii sio mara ya kwanza,kuna siku redioni diamond alisikika akisema "Dimpoz anamchukia kisa alikataa kumpulia kisogoni", Ommy akatoa onyo,akamwambia sio vizuri,unaweza ukanitukana hivyo halafu ukashangaa kesho natoka na taulo kwenye chumba cha Bi sandra!!!!Domo naona hakusikia,karudia tena!Acha apewe vinavyoweza kumuuma,halafu sijui Ommy hajapata video ya Zari akijichokonoa na dildo,maana ningekuwa mimi ningeipost!
Kumegwa siyo kesi unaweza kuta hata bibi mdash wako anamegeka tu kitaani na wana, wengne wadogo zaidi yako. Kesi iliyopo ni domo kamdis ommy, so ommy angedili na domo personally maswala ya kumuhusisha bi mdashi hayakuwa na mantiki kama kamla bi mkubwa wanajuana wenyewe mm hainihusu swala ni kwa nn umuhisishw mtu ambaye hahusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom