PreGE2025 Fid Q: Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania

PreGE2025 Fid Q: Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
5,082
Reaction score
20,806
Miaka 4 trillion 13 kwenye musiki karibu trillion 10 kila mwaka..,bajeti ya serikali kwenye sekta ya wizara ya kilimo mwaka 2024/2025 ni trillion 1.2..halafu mnasema Kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa??

Maji ni uhai,Ila kwenye maji wamepeleka billion 600..afya?elimu??haha yooh kumbe 30% ya bajeti yote ya serikali inaenda kwenye musiki...
 
Fid alishasema yeye ni binadamu hajakamilika ila kitu pekee ana uhakika hakosei ni Ku-rhyme!

Ndiyo maana miradi inasimama,kumbe pesa inapelekwa huku!
 
Back
Top Bottom