Jmn msione watu kwenye nyimbo zao wanaonyesha ugumu ,wanakaza sana ila kwa field na real life mambo ni tofautiKatibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania.
Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa.
Pia kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Inahitaji Degree ya mtaa kuelewa anachosema... Maana halisi ya kuweka kipsji kwapani na kugeuka chawa.Katibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania.
Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa.
Pia kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania.
Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa.
Pia kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Trillion 13, wafanya masihara wewe!Mnaweza mkakuta ni kweli