The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Haki vile ndio maana HIP HOP yake ipo kama taarabu. Huyu mpumbavudah! Huyu ndo mwana Hip Hop mjinga zaid ulimwenguni.
Huko CAG hafiki hukoNdiyo zile wanazohongwa wakati wa kampeni ili kuvutia halaiki, au!!!
Hajui Trillion huyo au kashavuta Mabangi yakeKatibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fidq amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania.
Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa.
View: https://www.instagram.com/reel/DIjo5CAshpx/?igsh=NjhueTl4bjNva2wx